Mliofanikiwa Kupata Wenza, Mje mlete Mrejesho

Ahahaha tunachangamsha genge mkuu. Na mautani ya apa na pale.

Nimeanza kukufuatilia nyendo zako mkuu naona nyuzi zinazohusiana na kuvutana ndani huachi kupiga kambi..

Inazidi kunipa matumaini tuko pamoja
 
Nimeanza kukufuatilia nyendo zako mkuu naona nyuzi zinazohusiana na kuvutana ndani huachi kupiga kambi..

Inazidi kunipa matumaini tuko pamoja
Ahahaha apo kufatiliana apo, ndipo pabaya mkuu. Mie nipo kote kote, MMU, siasa, chit chat, habari na hoja mchanganyiko. Huku tunatembeleaga kuona watu jns wanavytft kazi na kuwapa maushauri.
 
Ahahaha apo kufatiliana apo, ndipo pabaya mkuu. Mie nipo kote kote, MMU, siasa, chit chat, habari na hoja mchanganyiko. Huku tunatembeleaga kuona watu jns wanavytft kazi na kuwapa maushauri.

Mdogo mdogo mpaka utashtukia niko pm
 
Mkuu nimepitia reply zote kuna demu mmoja hapo unatakiwa upite nae kwa speed ya jet
Alaf ubadilishe avatar huwez kupata dem kwa avatar hiyo la sivyo utaendelea kukataliwa kama mimi

GunFire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…