Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

Hakunaga Mungu anayetaka utoe zaka ndo akupende..hao ni wachungaji na mapadre ndo wanahizo pigo
Mkuu emu fata maandiko acha kutumia akili zako mbna maandiko yako wazi Sana?? Mheshimu Bwana MUNGU wako kwa Mali yako yote. Shida iko wapi kumtolea aliekuumba ili injili isonge mbele?
 
Hakunaga Mungu anayetaka utoe zaka ndo akupende..hao ni wachungaji na mapadre ndo wanahizo pigo
Mbona watu wanaenda kulewa bar hausemi wanamepelkea mwenye bar? Mbna watu wanahonga wanawake hovyohovyo Tena hela kubwa kuliko hata Hilo fungu la kumi? Tubadilike
 
Mbona watu wanaenda kulewa bar hausemi wanamepelkea mwenye bar? Mbna watu wanahonga wanawake hovyohovyo Tena hela kubwa kuliko hata Hilo fungu la kumi? Tubadilike
Kila mtu anamatumizi yake..mwache afuraie jasho lake..s
 
Tunatoa Zaka na Sadaka Kwa kuwezeshwa na Yesu. Ukiomba Yesu akuwezeshe anakuwezesha kutoa Zaka na Sadaka Kwa uaminifu.
 
Makuhani wengine Wana tofauti gani nahao watu wengine????... Makuhani wengine ni hatari kuliko walozi wakiikaribia Hela yako !!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyovyote utakavyowaza ama kusema na bila kujali matendo ya hao makuhani ambao Mungu amewaweka, wako hapo kwaajili ya kupokea sadaka yako kwa niaba ya Mungu, na kwa mamlaka hayo hayo wanazobaraka ambazo wanaachilia kwa watu Kwa niaba ya Mungu, yaani kama ilivyo kwa shetani makuhani wake ni waganga wanapokea sadaka Kwa niaba ya mizimu na mashetani
 
Watu mna moyo, yaani nisotee hela yangu, nilipe kodi ya serikali, kisha bado nikatoe sadaka, halafu bado nikatoe asilimia 10% kuwapa hao matapeli akina Mwamposa &co. Eti fungu la 10?🤣🤣🤣
Watu wanaoagiza ndege binafsi huku wewe hata baiskeli huna
 
ZAKA NI AMRI NA SIYO OMBI ukiacha kutoa ni dhambi.ww toa usiangalie hayn mengne mwachie mungu atajua cyo kazi yako
 
Asilimia 10 ya faida au mapato?
Nipe huo mfano kwa mfanyabiashara mwenye mtaji wa 500,000 yeye zaka yake unacalculate vipi
Kama hiyo 500k ni mtaji hiyo hatolei zaka ila akishaifanyia biashara akapata mfano 750k hapo atatoa gharama zote alizoingia then ile faida ndiyo anaitolea zaka ambayo ni asilimia 10 kwa mfano hapo juu 750k -500k=250k so 250k ndiyo faida kwa hiyo zaka yake ni 25k
 
Kama hiyo 500k ni mtaji hiyo hatolei zaka ila akishaifanyia biashara akapata mfano 750k hapo atatoa gharama zote alizoingia then ile faida ndiyo anaitolea zaka ambayo ni asilimia 10 kwa mfano hapo juu 750k -500k=250k so 250k ndiyo faida kwa hiyo zaka yake ni 25kif that
If that is the case kwanini mnataka mfanyakazi atoe 10% ya mshahara wake bila kujali matumizi yake anayotumia kupata huo mshahara
 
Back
Top Bottom