Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Labda wewe uliyepo huko mjini, mi najilia vitu asilia niko huku Shambani Nanjilinji. Unakaza fuvu kabisa nyama ya ng'ombe wa kienyeji inayoiva kwa masaa mawili hadi matatu ina ladha sawa na ng'ombe wa kisasa maji mara 1 kwa nusu saa tu?Usitake kusema hununui hata mafuta ya kula mkuu, huezi kuepuka hivi vitu kama hutonunua directly basi utakula kwenye bidhaa nyingine
Chakula kina uandaaji wake, cancer utapata kma hauna maandalizi mazuri, hii hii mihogo ukikaanga kupitiliza utapata madhara. Hayo mambo ya kemikali sijui nn ni kudanganyana, kemikali tunazila kwa kila chakula
achana na hilo jinga,.... kwenye huu uzi umeshusha nondo safi tena kwa hekima,...hujapanic,..Wewe baki na ujinga wako wa kijima tu, hakuna kuku asiye na baba na mama.
Tena kuna hizi familia wao unakuta eti hawaendi hospitali wanakwambia hawataki dawa zina madhara.Waafrika wengi wana ujinga mwingi sana wa kurithi na bahati mbaya sana wanarithishana huo ujinga kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
Vitu asilia viko porini au msituni, sio shambani.Labda wewe uliyepo huko mjini, mi najilia vitu asilia niko huku Shambani Nanjilinji.
Akiendelea kubishana na hapa uyu ni wa kumuacha tena mkuu.achana na hilo jinga,.... kwenye huu uzi umeshusha nondo safi tena kwa hekima,...hujapanic,..
Shida ya hao kuku na mayai yake ni kama ilivyo kwenye mbogamboga za bustanini tu,....(Mfugaji au mkulima hazingatii matumizi sahihi ya dawa kwenye mifugo yake au mboga zake,),...
mfano,...kuna mbogamboga nyingi zinaingizwa sokoni siku chache sana baada ya kupulizwa sumu za kuzuia wadudu,...unakuta mpaka mbogamboga zinanuka kabisa,....HII SASA NDO HATARI,...
Kwa upande wa kuku, kuna baadhi ya dawa ukiwapatia kuku, huruhusiwi kuwala kwa muda wa wiki, na mayai yao hayafai kuliwa kwa muda huo,.. mfano, baadhi ya chanjo za magonjwa ya GUMBURO,....lakini wafugaji hawazingatiii hilo,....SASA HII NDO HATARI YENYEWE,...,...
SHIDA KUBWA NI MATUMIZI YA DAWA YASIO SAHIHI ,....
hawa wanaosema kuna kuku hawana baba wala mama tuwaache kwanza,...
Akili zako zina changamoto za afya mahali flani, uliza Mtanzania yeyote aliyewahi kufika huku Nanjilinji akueleze kukoje, Watu tunapishana na wanyama pori kila siku afu unajiona mjanja kumbe unajikaanga na mafuta yako mwenyewe. Nilishakwambia endelea na siasa ila hapa umechemka, si unaona sasa unavyojiweka uchi kiakili?Vitu asilia viko porini au msituni, sio shambani.
mbona umekomaa nae sana 😂🤣🤣🤣Vitu asilia viko porini au msituni, sio shambani.
TurkeyBata bukini
Unakula kuku imekonda kama mijiti, kuku zinashambuliwa na magonjwa hata mafuta hawana. Asee Mungu aniepushe na huu UfalaLabda wewe uliyepo huko mjini, mi najilia vitu asilia niko huku Shambani Nanjilinji. Unakaza fuvu kabisa nyama ya ng'ombe wa kienyeji inayoiva kwa masaa mawili hadi matatu ina ladha sawa na ng'ombe wa kisasa maji mara 1 kwa nusu saa tu?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kuna watu wengi sana kama huyu jamaa wana haya mawazo ya hovyo ya kimasikini mkuu na wanafanya upotoshaji wa kijumla jumla sana, hizi pseudoscience zinaharibu sana jamii zetu.mbona umekomaa nae sana 😂🤣🤣🤣
Jamaa ana jina zito, lakini kichwani local sana,...na kwa ubishi huo inaonekana ni mwalimu wa kijiwe,..😂😂😂Kuna watu wengi sana kama huyu jamaa wana haya mawazo ya hovyo ya kimasikini mkuu na wanafanya upotoshaji wa kijumla juma sana.
Alafu anajiona mjanja, anaongea kwa kujiamini kinoma😂😂Jamaa ana jina zito, lakini kichwani local sana,...na kwa ubishi huo inaonekana ni mwalimu wa kijiwe,..😂😂😂
ndo maana hataki kuelewa
ndo maana sijataka hata kumjibu,....maana nimeona hiii kichwa ngumu😂Alafu anajiona mjanja, anaongea kwa kujiamini kinoma😂😂
Hawa ndo wanatesa watoto wa watu na itikadi zao za kijinga
Hapo wapi😂😂 Manka jpili sitaki dhambi mimiHapa kuna kienyeji na kisasa
Beverly Hills huku mkuu😀😀Mitaa gani mkuu Alameda, Avenue au downtown kwa alikuwa lemutuz
...'Kashavunja ungo kwa kuliwa'... Mkuu sikuwezi🤣🤣🤣🤣Soko la kuku ni kubwa ..mzungu hana muda wa kusubiri mwaka mzimw ili kuku wa kienyeji akue.
Kuku akifika wiki tatu anakuwa kashavunja ungo tayari kwa kuliwa/kutafunwa