Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Labda wewe uliyepo huko mjini, mi najilia vitu asilia niko huku Shambani Nanjilinji. Unakaza fuvu kabisa nyama ya ng'ombe wa kienyeji inayoiva kwa masaa mawili hadi matatu ina ladha sawa na ng'ombe wa kisasa maji mara 1 kwa nusu saa tu?Usitake kusema hununui hata mafuta ya kula mkuu, huezi kuepuka hivi vitu kama hutonunua directly basi utakula kwenye bidhaa nyingine
Chakula kina uandaaji wake, cancer utapata kma hauna maandalizi mazuri, hii hii mihogo ukikaanga kupitiliza utapata madhara. Hayo mambo ya kemikali sijui nn ni kudanganyana, kemikali tunazila kwa kila chakula
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.