amia ujenzi utamalizia ndaniWazee Mimi nimejichanganya nimejenga nyumba Kali nimeezeka bati Kali nimeweka grill nikachimba shimo la choo nikalifunika Hela zimeisha hapa Nina kende tu na inatakiwa nihamie.
sijawai kuandika nasitakuja kuandikaUkiandika itakusaidia kujua thamani halisi ya nyumba yako. Hata ukitaka kuiuza utaiuza kwa bei ambayo itakupa faida
shimo limeku cost kiasi gani mkuuu....Wazee Mimi nimejichanganya nimejenga nyumba Kali nimeezeka bati Kali nimeweka grill nikachimba shimo la choo nikalifunika Hela zimeisha hapa Nina kende tu na inatakiwa nihamie.
Ghorofa linaumiza kwenye Nondo na Cement,kokoto yani hivyo vitu vitatu ndio Pasua kichwa kwenye Ujenzi wa Ghorofa.Ghorofa asikwambie mtu, ujenzi wake ni shughuli pevu. Tena ukipata Msimamizi wa Ujenzi Mjanja mjanja ndio balaa zaidi.
[emoji23][emoji23]Ghorofa linaumiza kwenye Nondo na Cement,kokoto yani hivyo vitu vitatu ndio Pasua kichwa kwenye Ujenzi wa Ghorofa.
Jichanganye uanze ukiwa hujajipanga uone balaaa... uingie kwenye list ya wauza viwanja vyenye msingi wa ghorofa.
Yes, hii approach mimi na bwana mdogo ndiyo tumetoka kuitumia kijijini kwetu! Tumekaa karibia mwezi na tumeweza angalau kupiga hatua. Kazi kama za kuvunja mawe n.k tumezipiga sana!Binafsi huwa naona ukiwa likizo/mapumziko ndio muda muafaka wa kufanya ujenzi. Kazi zingine nyepesi unazifanya mwenyewe.
Pole mkuu!Lakini pia ahsante kwa somo la kuwafuatilia kwa karibu hawa fundi maiko.Halafu Kuna ule uchuro wa mafundi wakichoka ile muda wa jioni wanataka kufunga kazi kama kuna zege inataka kubaki huwa wanaifukia ardhini ili wasiendelee na kazi. Hii nilikuja kukutana nayo baada ya kuhamia, nalima bustani nikawa nakuta na mabonge ya zege! Usimamizi wa karibu ni muhimu sana!
Safi sana mkuu 🤝Yes, hii approach mimi na bwana mdogo ndiyo tumetoka kuitumia kijijini kwetu! Tumekaa karibia mwezi na tumeweza angalau kupiga hatua. Kazi kama za kuvunja mawe n.k tumezipiga sana!