Mliojenga shikeni Maua yenu!

Mliojenga shikeni Maua yenu!

Wazee Mimi nimejichanganya nimejenga nyumba Kali nimeezeka bati Kali nimeweka grill nikachimba shimo la choo nikalifunika Hela zimeisha hapa Nina kende tu na inatakiwa nihamie.
shimo limeku cost kiasi gani mkuuu....

Nimejenga nyumba yote shimo naogopa hata kuanza kuchimba nisije chimbisha watu nikaacha shimo tu... Chooo bajeti yake Jishike.
 
Ghorofa asikwambie mtu, ujenzi wake ni shughuli pevu. Tena ukipata Msimamizi wa Ujenzi Mjanja mjanja ndio balaa zaidi.
Ghorofa linaumiza kwenye Nondo na Cement,kokoto yani hivyo vitu vitatu ndio Pasua kichwa kwenye Ujenzi wa Ghorofa.

Jichanganye uanze ukiwa hujajipanga uone balaaa... uingie kwenye list ya wauza viwanja vyenye msingi wa ghorofa.
 
[emoji23][emoji23]
 
Halafu Kuna ule uchuro wa mafundi wakichoka ile muda wa jioni wanataka kufunga kazi kama kuna zege inataka kubaki huwa wanaifukia ardhini ili wasiendelee na kazi. Hii nilikuja kukutana nayo baada ya kuhamia, nalima bustani nikawa nakuta na mabonge ya zege! Usimamizi wa karibu ni muhimu sana!
 
Pole mkuu!Lakini pia ahsante kwa somo la kuwafuatilia kwa karibu hawa fundi maiko.
 
Back
Top Bottom