Mliokaririshwa uongo kuwa mishahara ya walimu ni midogo kuliko watumishi wengine wa serikali, nawaanikia hapa

wewe
una ipi? hivyo unavyovitaja walimu wawatumii usafiri huo!! Nenda ukajionee!!
 
Ww si ndo ulichukulia advantage kwao ukaingiza makontena ya furniture na electronics halafu ukatudanganya ni vifaa vya walimu?

Hata uzungumze nini huna ishu mbele yetu watz.

Hatujakusahau, baada ya Jambazi Sabaya Tunarudi kwako Daud Albert Bashite, ulifoji vyeti
 
Kumbe mbingunikwetu ni Mzee mzima Bashite Pol M Albert Bashite
 
Ndio maana hawaachi kuiba sababu wanajua Sheria zenyewe za KINGESE haziwafungi wezi wa mabillion bali zinawabeba
 
Vyakula kwa wanafunzi, na siku hizi kwenye ujenzi wa madarasa na vyoo walimu Wapo ukiwaruka hupati kazi, hasa kwenye hizi tends za Foss accounts
 
DIPLOMA YA MADINI Mfano geology au mining technician.SERIKALINI ANAANZA NA 716000 HIYOHIYO YA MWALIMU WA DEGREE


MGODINI MTU MWENYE DIPLOMA HIYOHIYO ANAANZA NA MSHAHARA WA 1,780,000


HAKIKA UALIMU NI MASKINI
 

Katibu mahsusi….
Maafisa ukaguzi…
Walinzi……
Maafisa ugavi [emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji23][emoji23][emoji23] kitengo ulichopo/ulichokuwa watakuwa wameisoma sana namba.

Niliwahi kukutana na jamaa mmoja akashangaa sana amepewa huduma bila kutoa hela, tena hapo amepiga hela nzuri sana. Aisee aliapiza angekuwa amesoma hakuna bure bure lbd kama anatibu mgonjwa. [emoji28][emoji28]

Taifa linachangamoto sana za maadili. Unajiuliza mtumishi hana biashara na TGS D yake, anakaa Tegeta, kazi Temeke. Amepanga, anaendesha gari kila siku, analewa na pupuchi za mzunguko [emoji28]. Aiseee kunamiujiza mingi sana.
 
Sina la kuongeza
 
Kibongo bongo ni nipe nikupe,
Kila mtu anakula ofsin kwake mkuu
Ukiuelewa huo mfumo,huwez pata tabu[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Katibu mahsusi….
Maafisa ukaguzi…
Walinzi……
Maafisa ugavi [emoji23][emoji23][emoji23]

1. Katibu mahsusi madili yao ni kama masjala tu. Wazee wa "NIPE YA MAJI" ili ufanyiwe connection na faili lako likimbie

2. Walinzi hawa wanapiga dili na madreva wanaotumia magar ya halmashaur nje ya mada wa kazi.
Mf: kuna tipper,excavator inatakiwa ikachimbe na ikabebe vifusi usiku kinyemela,mlinzi atahusika na mgao atapata.
-kuna Lc mkonga,vx au v8 imekufa imepaki tu halmashaur, inatakiwa iibiwe spea ikauzwe mtaani,mlinzi atahusika na mgao atapata.

3. Maafisa ugavi ndo watu gani hao,siwajui nifafanulie[emoji848]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Afisa ugavi ni watu wa procurement, wazee wa kusimamia manunuzi

hawa ndo wapigaji haswaaa
 
QUOTE="Mkongwee, post: 48095149, member: 497193"]
Imepanda bhanaa, Bi Mkubwa kaongeza ten hii July....ss wanakunja milioni mojaa
[/QUOTE]Alaaa!Kumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…