Mliokaririshwa uongo kuwa mishahara ya walimu ni midogo kuliko watumishi wengine wa serikali, nawaanikia hapa

AKSANTE baba mkuru sasa kama mtumishi ikikutokea hivi uwafanyeje sababu linanihusu sana hili umenifungua macho! JF idumu!
 
Sahihi kabisa. Kinachotofautisha walimu na kada zingine ni bonuses, n.k n.k nisiende mbali sana.
 
Ndo ivoivo! ilikuwaga wanajeshi/polisi/magereza/nk! tangu enzi za Nyerere kwa kuwa vilikuwa vinapatikana bureeee!! watu walizi dharau sana hizo kada, lkn leo post za jeshi ni hot cake mnoo!

hii kada ya ualimu mnaidharau leo sababu inauhitaji mnooo!! wa watumishi siku ikishiba watumishi itapaa na wala hutasema hivi tena! wala siyo mbali na hapa.....

ni kama lilivyo jeshi la leo watu mpaka wanahonga kupata hizo nafasi lkn wapi!...zamani mlikuwa mna bembelezwa kuingia magereza eti mnaita kazi za jasho,hawakusoma lkn leo je???!
 
Wee Ni wa mbinguni,
Kubishana na wewe siwezi[emoji4]
 
Wee kwanza jinsia gan,
uandishi wako umenipa walakini[emoji848]
 
Sahii kanisa mkuu,
Wee ndo umenielewa sasa
 
Walimu kinachowabeba,
Wana akili ya maisha Sana,
Wanapata kidg,ila Wana uwezo wa kufanya maendeleo

Kuna afisa maliasili mmoja Huwa nakunywa nae pombe Hadi za laki 8, ila Hana hata kibanda Cha kujistiri na Yuko kwenye late 50s
 
Huu ndo ukweli bila haya makandokando ni ngumu sana mtumishi wa umma kutoboa.! Na serikali isopo boresha masilahi ya watumishi kamwe rushwa haiwezi kuisha
Sahii kabisa
 
AKSANTE baba mkuru sasa kama mtumishi ikikutokea hivi uwafanyeje sababu linanihusu sana hili umenifungua macho! JF idumu!
Kua specific,
Kipengele gan unazungumzia
 
Walimu walilazimika kuomba ukarani wa sensa sababu shule zote zimefungwa kupisha zoezi hilo, sasa ulitaka wakae nyumbani wakati mtu angeweza kujaribu bahati yake akapata vi laki viwili vitatu vya ukarani!?
 
Kuna na mabwana afya kaam matrafiki TU, wanatupiga Sana elfu hamsin hamsi Za faini uku mitaani
Hawa wanasababisha vifo vingi kwa kuacha watu wale vyakula vilivyopitwa muda wa kutumika, nimeshuhudia samaki waliovunda wakiuzwa migahawani, mikate, vitumbua, maandazi nk vimeota fungus lakini bado wanauziwa watu
 
Nmekuelewa SANA
 
Wangeanza na Sensa mwaka huu
 
 
Mkaguzi wa hesabu wa Ndani umemsahau Chief
 
Walimu kinachowabeba,
Wana akili ya maisha Sana,
Wanapata kidg,ila Wana uwezo wa kufanya maendeleo

Kuna afisa maliasili mmoja Huwa nakunywa nae pombe Hadi za laki 8, ila Hana hata kibanda Cha kujistiri na Yuko kwenye late 50s

Kama wewe sio snitch mshauri mwana[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…