Mliokaririshwa uongo kuwa mishahara ya walimu ni midogo kuliko watumishi wengine wa serikali, nawaanikia hapa

Jamii ya watanzania wanavyoelewa ni kwamba kazi ya ualimu ndiyo yenye mshahara mdogo kuliko kazi zingine zote. Hivyo hii imepelekea hadhi ya mwalimu kwenye jamii kushuka sana na mwalimu kuhesabika kuwa ni duni katika jamii. Lakini hii si kweli hata kidogo. Msichana akitaka kuchumbiwa na mwalimu anajisikia mnyonge, na mara nyingi hukataa labda akihisi kuwa umri unamtupa mkono au akiona hajapata chaguo la moyo wake.

Ukweli ni kwamba watumishi wote wa serikali (walimu na kada zingine) mishahara yao iko chini sana! Lakini ukiilinganisha hiyo mishahara yao midogo, mshahara wa mwalimu unakuwa juu kidogo kuliko kada zingine isipokuwa kwa kada ambazo wanasoma miaka mingi zaidi kama madaktari, wafamasia na wahandisi.

Ngoja niwaanikie hapa:

Mishahara ya walimu wanaoanza wenye digrii ya kwanza:
Hadi Juni 2022 walikuwa kwenye TGTS D1 = 716,000/=
Kuanzia Julai 2022 wanakuwa kwenye TGTS D1 = 771,000/=

Mishahara ya kada zingine wasio walimu wenye digrii ya kwanza:
Hadi June 2022 walikuwa kwenye TGS D1 = 710,000/=
Kuanzia Julai 2022 wanakuwa kwenye TGS D1 = 765,000/=

Kwa hiyo hadi Juni 2022 mshahara wa mwalimu ulikuwa unazidi mshahara wa kada nyingine kwa sh 6,000/=.
Kuanzia Julai 2022 mshahara waq mwalimu unazidi mshahara wa kada zingine kwa sh 6,000/= pia.

Kwa wastani mishahara ni midogo kwa wote japo jamii inaamini kuwa mwalimu ndiye mwenye mshahara mdogo wakati siyo kweli. Wahanga wa uongo huu wamekuwa ni wasichana kukataa kuolewa na walimu na kushobokea kada zingine kwa kigezo cha mshahara.

Mtumishi wa serikali akilalamika kuwa mshahara ni mdogo watu wanakimbilia kusema kuwa huyo lazima atakuwa ni mwalimu.

Nashauri tuwaheshimu sana walimu wetu, tusiwabeze bali tuwatie moyo maana kazi yao ni ngumu na ni muhimu sana. Kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni kukejeli walimu eti ndio wanaolalamikia nyongeza kiduchu ya mshahara mwaka huu kinyume na matarajio yao.
 
Kuna wahitimu kibao wa kozi mbali mbali hulazimika kusoma PGDE (Postgraduate Diploma in Education) ili tu wapate ajira ya ualimu, lakini awali walikuwa wanaukandia sana ualimu! Lakini uhalisia wa maisha umewapa kuelewa! Wapo wanasheria, wahandisi ndo usiseme, nk
 
Mikopo wanayo watumishi wote! Kama ni mikopo ya bodi ya elimu ya juu wanayo watumishi wa kada zote, kama ni mikopo ya benki na sakosi wanayo pia watumishi wote! Hayo ndiyo mambo waliyokaririshwa kuwa eti ni walimu tu wenye mikopo wakati siyo!
 
Wale watoto wa mama hawawezi kukuelewa kamwe.

Wao wameshakariri watumishi wa kada ya ualimu ndiyo yenye maisha magumu kwenye jamii kuliko wale wa kada nyingine! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.
 
Jamii ya watanzania wanavyoelewa ni kwamba kazi ya ualimu ndiyo yenye mshahara mdogo kuliko kazi zingine zote. Hivyo hii imepelekea hadhi ya mwalimu kwenye jamii kushuka sana na mwalimu kuhesabika kuwa ni duni katika jamii. Lakini hii si kweli hata kidogo. Msichana akitaka kuchumbiwa na mwalimu anajisikia mnyonge, na mara nyingi hukataa labda akihisi kuwa umri unamtupa mkono au akiona hajapata chaguo la moyo wake.

Ukweli ni kwamba watumishi wote wa serikali (walimu na kada zingine) mishahara yao iko chini sana! Lakini ukiilinganisha hiyo mishahara yao midogo, mshahara wa mwalimu unakuwa juu kidogo kuliko kada zingine isipokuwa kwa kada ambazo wanasoma miaka mingi zaidi kama madaktari, wafamasia na wahandisi.

Ngoja niwaanikie hapa:

Mishahara ya walimu wanaoanza wenye digrii ya kwanza:
Hadi Juni 2022 walikuwa kwenye TGTS D1 = 716,000/=
Kuanzia Julai 2022 wanakuwa kwenye TGTS D1 = 771,000/=

Mishahara ya kada zingine wasio walimu wenye digrii ya kwanza:
Hadi June 2022 walikuwa kwenye TGS D1 = 710,000/=
Kuanzia Julai 2022 wanakuwa kwenye TGS D1 = 765,000/=

Kwa hiyo hadi Juni 2022 mshahara wa mwalimu ulikuwa unazidi mshahara wa kada nyingine kwa sh 6,000/=.
Kuanzia Julai 2022 mshahara waq mwalimu unazidi mshahara wa kada zingine kwa sh 6,000/= pia.

Kwa wastani mishahara ni midogo kwa wote japo jamii inaamini kuwa mwalimu ndiye mwenye mshahara mdogo wakati siyo kweli. Wahanga wa uongo huu wamekuwa ni wasichana kukataa kuolewa na walimu na kushobokea kada zingine kwa kigezo cha mshahara.

Mtumishi wa serikali akilalamika kuwa mshahara ni mdogo watu wanakimbilia kusema kuwa huyo lazima atakuwa ni mwalimu.

Nashauri tuwaheshimu sana walimu wetu, tusiwabeze bali tuwatie moyo maana kazi yao ni ngumu na ni muhimu sana. Kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni kukejeli walimu eti ndio wanaolalamikia nyongeza kiduchu ya mshahara mwaka huu kinyume na matarajio yao.
Ni kweli ulichokisema hapo huu lakini ni vema ukatambua kwamba mwalimu akishapata mshahara huo Hana tena marupurupu wala posho kama kwenye izo kada zingine. Ndo maana mwalimu anaendelea kua ndo mtumishi ambae anaishia maisha ya chini kuliko hao watumishi wengine wenye safari, vikao na semina nyingi wanazolipwa na zinawasaidia kuboresha maisha yao.
 
Hicho unachokisema uhalisia wake pia unawahusu watu wachache sana kiasi kwamba hakiletin tofauti kwa walio wengi. Si kada zote isipokuwa walimu hupewa posho!! Sana sana ni wizi na ubadhirifu tu. Sasa huwezi kujivunia kazi eti kwa kuwa inakupa fursa ya kuiba au kupokea rushwa!! Kwa mfano wahasibu, si kwamba kazi yao ina posho nyingi zaidi ya udanganyifu na rushwa!! Hali kadhalika kwa maafisa utumishi, mabwana afya nk. Ni bahati mbaya sana kukuta taifa limejaa vijana wanaopenda kazi fulani kwa kuwa ina fursa ya rushwa au wizi!!
 
Ndomana nilishauligi kuwa walimu waanze kupigwa oral na written interview, shida tunawadekeza sana hawa inabidi tukutane nao ajira portal waone hiyo compitition ilivyo. Unakuta mwalimu yupo yupo tu kama waokota makopo. Nikiendaga shuleni kumsalimia dogo wangu unakuta naongea na mwalimu hajiamini anatetemeka tu nguo hawapigi pasi wala hawapo smart kama majaa yaliyopo TRA, TCRA, TPDC, BANK au NSSF
Daaaaaaah....!Vijana mnamikwara sana
 
Kuna wahitimu kibao wa kozi mbali mbali hulazimika kusoma PGDE (Postgraduate Diploma in Education) ili tu wapate ajira ya ualimu, lakini awali walikuwa wanaukandia sana ualimu! Lakini uhalisia wa maisha umewapa kuelewa! Wapo wanasheria, wahandisi ndo usiseme, nk
Ni wachache Sana, lakini Walimu ndio wanaoongoza Kwa kubadili taaluma.
 
Walimu Hawana dili Wala marupurupu ya ziada Kama kada nyingine, hiki Ndo kinawafanya kua maskini Sana

1. Dreva wa halmashaur ana mshahara mdg kuliko mwalimu ila atapiga dili za vifusi,mchanga,kokoto n.k night za misafara n.k

2. Afisa biashara au ardhi wa halmashaur ana mshahara mdg kuliko mwalimu,
Ila atapiga rushwa za leseni za kufa mtu.

3. Afisa mifugo au kilimo atapiga elfu tano tano za sindano mifugo ya watu au atalima mashamba yake uko uchochoroni kwa kutumia dawa au pembejeo za ruzuku za serikali.

4. Mfamasia atakula laki tano tano kila mwezi for free za cheti chake tu kutumika kwny maduka ya dawa ya watu uko mitaani uku katulia tu..

5. Daktar au nesi wa halmashaur,
Hawa dili za semina,mafunzo n.k Ni nyingi mno(covid 19, chanjo, ukoma, malelia n.k). Hapo bado hawajaiba vifaa Tiba na kuviingiza mtaani kwenye hospital binafs.
[emoji117] Kuna na mabwana afya kaam matrafiki TU, wanatupiga Sana elfu hamsin hamsi Za faini uku mitaani

6. Wahasibu na maafisa manunuzi wa halmashaur wanapiga Sana dili za kimahesabu na 10% wakishirikiana na maboss wao (wakurugenz) ili Kupiga Cha juu kwenye tenda na matumiz mbalimbali ya fedha kwny halmashaur.

7. Maengineer wa halmashaur Ndo kabsaa wezi wakubwa, wao kila mradi wa serikali wakipewa kusimamia Lazima umalizike na yeye tayar ana kijumba keshakijenga kwa material zile zile za mradi.

8. Maafisa masjala wao Ni Kama matrafiki au madalali wa viunga vya halmashaur, una faili lako pale kwa mkurugenz au mkuu wa wilaya,ili likimbie chap chap Lazima utamwachia elfu 2 au elfu 5 ya maji.

9. Afisa maliasili wa halmashaur Hawa Ni wazee wa madili na rushwa za misitu,mikaa,mbao na magendo mbalimbali ya serikali.

10. Afisa utumiishi Hawa ndio wazee wa madili ya watumishi hewa.
[emoji117]Mtu anafariki, ripoti haiendi hazina kusitisha mshahara. Inatolewa ripoti ya mwajiriwa kubadili account yake, mshahara wa marahemu wanaula hata miaka 10 mfulurizo bila yeyote kujua.
[emoji117]mtu anamakosa ya kinidhamu,kasimamishiwa mshahara. Ripoti haiendi hazina, inabadilishwa tu account. Wanaupiga kimya kimya. Ukisamehewa ukarudishiwa mshahara, ule wa nyuma hata uulizii.
[emoji117]mtu anaripoti Ila haendi kituo Cha KAZI, au anaacha kazi anaenda zake private kwa muda.
wanakula dili na afisa utumishi, wanaugawana nusu nusu huku yeye Yuko zake private sector anapiga Ela nyingine.

Kama Kuna mtumish mwngne wa halmashaur nmemsahau nikumbushe.

Ila kiuhaisia mwalimu nje ya mshahara sijui atapiga dili gani atoboe,

ukiachilia mbali suala la twisheni ambalo bado kipato chenyewe Ni kidg mno na jasho linalomtoka Ni jingi mno

Sijui atapiga dili gan jingine maana vitabu vyote vya serikali vimeandikwa "HAKIUZWI", boksi lenyewe la chaki Mtaani halizidi hata elfu 2.
Afisa maendeleo ya jamii
 
Ndomana nilishauligi kuwa walimu waanze kupigwa oral na written interview, shida tunawadekeza sana hawa inabidi tukutane nao ajira portal waone hiyo compitition ilivyo. Unakuta mwalimu yupo yupo tu kama waokota makopo. Nikiendaga shuleni kumsalimia dogo wangu unakuta naongea na mwalimu hajiamini anatetemeka tu nguo hawapigi pasi wala hawapo smart kama majaa yaliyopo TRA, TCRA, TPDC, BANK au NSSF
Huwezi kupambana na mwalimu kwenye usaili ukatoboza!! Walimu wana utaalam wa saikolojia na wana uzoefu wa kuongea kwenye hadhara!! Hakuna mwalimu asiyejiamini!! Halafu walimu wa leo siyo wachovu kama mnavyotaka kuiaminisha umma!! Tembelea shule yoyote ya sekondari au ya msingi ukacheki magari waliyopaki walimu!! Tembelea makazi yao uone nyumba zao binafsi walizojenga!! Kama uko kibaha tembelea Kibaha sekondari, tumbi primary, mkoani primary, nk. Kama uko Dar tembelea Tambaza sekondari, Azania sekondari, Benjamin Mkapa sekondari au shule yoyote ya primary!! Hata huko mikoani tembelea shule yoyote halafu linganisha na maisha yako binafsi!! Hutaamini macho yako!!!
 
Jamii ya watanzania wanavyoelewa ni kwamba kazi ya ualimu ndiyo yenye mshahara mdogo kuliko kazi zingine zote. Hivyo hii imepelekea hadhi ya mwalimu kwenye jamii kushuka sana na mwalimu kuhesabika kuwa ni duni katika jamii. Lakini hii si kweli hata kidogo. Msichana akitaka kuchumbiwa na mwalimu anajisikia mnyonge, na mara nyingi hukataa labda akihisi kuwa umri unamtupa mkono au akiona hajapata chaguo la moyo wake.

Ukweli ni kwamba watumishi wote wa serikali (walimu na kada zingine) mishahara yao iko chini sana! Lakini ukiilinganisha hiyo mishahara yao midogo, mshahara wa mwalimu unakuwa juu kidogo kuliko kada zingine isipokuwa kwa kada ambazo wanasoma miaka mingi zaidi kama madaktari, wafamasia na wahandisi.

Ngoja niwaanikie hapa:

Mishahara ya walimu wanaoanza wenye digrii ya kwanza:
Hadi Juni 2022 walikuwa kwenye TGTS D1 = 716,000/=
Kuanzia Julai 2022 wanakuwa kwenye TGTS D1 = 771,000/=

Mishahara ya kada zingine wasio walimu wenye digrii ya kwanza:
Hadi June 2022 walikuwa kwenye TGS D1 = 710,000/=
Kuanzia Julai 2022 wanakuwa kwenye TGS D1 = 765,000/=

Kwa hiyo hadi Juni 2022 mshahara wa mwalimu ulikuwa unazidi mshahara wa kada nyingine kwa sh 6,000/=.
Kuanzia Julai 2022 mshahara waq mwalimu unazidi mshahara wa kada zingine kwa sh 6,000/= pia.

Kwa wastani mishahara ni midogo kwa wote japo jamii inaamini kuwa mwalimu ndiye mwenye mshahara mdogo wakati siyo kweli. Wahanga wa uongo huu wamekuwa ni wasichana kukataa kuolewa na walimu na kushobokea kada zingine kwa kigezo cha mshahara.

Mtumishi wa serikali akilalamika kuwa mshahara ni mdogo watu wanakimbilia kusema kuwa huyo lazima atakuwa ni mwalimu.

Nashauri tuwaheshimu sana walimu wetu, tusiwabeze bali tuwatie moyo maana kazi yao ni ngumu na ni muhimu sana. Kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni kukejeli walimu eti ndio wanaolalamikia nyongeza kiduchu ya mshahara mwaka huu kinyume na matarajio yao.
Kuna mdau aliwahi sema ualimu kudharaulika sio mshahara mdogo
1. Hawana pakupata rusha au posho nje ya mshahara hapa lazima maisha yakuchape
2. Hawa walimu ni lia lia sana
3. Walimu wanajidharau wenye kwa kukopa vitaasisi vya kijinga jinga
 
Walimu Hawana dili Wala marupurupu ya ziada Kama kada nyingine, hiki Ndo kinawafanya kua maskini Sana

1. Dreva wa halmashaur ana mshahara mdg kuliko mwalimu ila atapiga dili za vifusi,mchanga,kokoto n.k night za misafara n.k

2. Afisa biashara au ardhi wa halmashaur ana mshahara mdg kuliko mwalimu,
Ila atapiga rushwa za leseni za kufa mtu.

3. Afisa mifugo au kilimo atapiga elfu tano tano za sindano mifugo ya watu au atalima mashamba yake uko uchochoroni kwa kutumia dawa au pembejeo za ruzuku za serikali.

4. Mfamasia atakula laki tano tano kila mwezi for free za cheti chake tu kutumika kwny maduka ya dawa ya watu uko mitaani uku katulia tu..

5. Daktar au nesi wa halmashaur,
Hawa dili za semina,mafunzo n.k Ni nyingi mno(covid 19, chanjo, ukoma, malelia n.k). Hapo bado hawajaiba vifaa Tiba na kuviingiza mtaani kwenye hospital binafs.
[emoji117] Kuna na mabwana afya kaam matrafiki TU, wanatupiga Sana elfu hamsin hamsi Za faini uku mitaani

6. Wahasibu na maafisa manunuzi wa halmashaur wanapiga Sana dili za kimahesabu na 10% wakishirikiana na maboss wao (wakurugenz) ili Kupiga Cha juu kwenye tenda na matumiz mbalimbali ya fedha kwny halmashaur.

7. Maengineer wa halmashaur Ndo kabsaa wezi wakubwa, wao kila mradi wa serikali wakipewa kusimamia Lazima umalizike na yeye tayar ana kijumba keshakijenga kwa material zile zile za mradi.

8. Maafisa masjala wao Ni Kama matrafiki au madalali wa viunga vya halmashaur, una faili lako pale kwa mkurugenz au mkuu wa wilaya,ili likimbie chap chap Lazima utamwachia elfu 2 au elfu 5 ya maji.

9. Afisa maliasili wa halmashaur Hawa Ni wazee wa madili na rushwa za misitu,mikaa,mbao na magendo mbalimbali ya serikali.

10. Afisa utumiishi Hawa ndio wazee wa madili ya watumishi hewa.
[emoji117]Mtu anafariki, ripoti haiendi hazina kusitisha mshahara. Inatolewa ripoti ya mwajiriwa kubadili account yake, mshahara wa marahemu wanaula hata miaka 10 mfulurizo bila yeyote kujua.
[emoji117]mtu anamakosa ya kinidhamu,kasimamishiwa mshahara. Ripoti haiendi hazina, inabadilishwa tu account. Wanaupiga kimya kimya. Ukisamehewa ukarudishiwa mshahara, ule wa nyuma hata uulizii.
[emoji117]mtu anaripoti Ila haendi kituo Cha KAZI, au anaacha kazi anaenda zake private kwa muda.
wanakula dili na afisa utumishi, wanaugawana nusu nusu huku yeye Yuko zake private sector anapiga Ela nyingine.

Kama Kuna mtumish mwngne wa halmashaur nmemsahau nikumbushe.

Ila kiuhaisia mwalimu nje ya mshahara sijui atapiga dili gani atoboe,

ukiachilia mbali suala la twisheni ambalo bado kipato chenyewe Ni kidg mno na jasho linalomtoka Ni jingi mno

Sijui atapiga dili gan jingine maana vitabu vyote vya serikali vimeandikwa "HAKIUZWI", boksi lenyewe la chaki Mtaani halizidi hata elfu 2.
Hii ndo akili ya vijana wetu!! mtu anajisifia kazi inayompa fura ya wizi na ulaji rushwa hadharani bila aibu!!
Haya ndiyo asemayo: "
6. Wahasibu na maafisa manunuzi wa halmashaur wanapiga Sana dili za kimahesabu na 10% wakishirikiana na maboss wao (wakurugenz) ili Kupiga Cha juu kwenye tenda na matumiz mbalimbali ya fedha kwny halmashaur.

7. Maengineer wa halmashaur Ndo kabsaa wezi wakubwa, wao kila mradi wa serikali wakipewa kusimamia Lazima umalizike na yeye tayar ana kijumba keshakijenga kwa material zile zile za mradi.

8. Maafisa masjala wao Ni Kama matrafiki au madalali wa viunga vya halmashaur, una faili lako pale kwa mkurugenz au mkuu wa wilaya,ili likimbie chap chap Lazima utamwachia elfu 2 au elfu 5 ya maji.

9. Afisa maliasili wa halmashaur Hawa Ni wazee wa madili na rushwa za misitu,mikaa,mbao na magendo mbalimbali ya serikali.

10. Afisa utumiishi Hawa ndio wazee wa madili ya watumishi hewa.
emoji117.png
Mtu anafariki, ripoti haiendi hazina kusitisha mshahara. Inatolewa ripoti ya mwajiriwa kubadili account yake, mshahara wa marahemu wanaula hata miaka 10 mfulurizo bila yeyote kujua."

Huyu mwenye akili ya wizi na rushwa huku mshahara wake ni mdogo kuliko wa mwalimu naye anamdharau mwalimu eti tu kwa sababu kazi yake anaitumia kuiba, na kula rushwa!! Hajui kuwa siku za mwizi na arobaini na atakuja kuharibu maisha yake na ya familia yake na amwache mwalimu akila mshahara halali na familia yake kwa furaha na amani!!
 
Kuna mdau aliwahi sema ualimu kudharaulika sio mshahara mdogo
1. Hawana pakupata rusha au posho nje ya mshahara hapa lazima maisha yakuchape
2. Hawa walimu ni lia lia sana
3. Walimu wanajidharau wenye kwa kukopa vitaasisi vya kijinga jinga
Serikali yenyewe inakopa,cha msingi ni kukopa kistaarabu
 
Watoa takwimu acheni kuandika vtu why usituprintie bank statement ya kuonesha ivyo
Au why msitupigie pic ule mfumo wa mishahara sjui ndo inaitwa salary structure mm sio mwajiliwa sjui inaitwaje
Unaniambia mwalimu analipwa lk 7 kwa mwezi ila ukiwaangalia mtaa maisha yao weng ni magumu
Unaniambia mfanyakazi wa sekta zingne anapewa overtime ya elf60,000x15 lk900,000 na iyo ni nje ya mshahara afu bado maisha yao ni yale yale km ya walimu tofauti lbda wao naona wanamagari ya mikopo
Unanambia mwanajeshi kuruti private anaingiza million 1.2 kwa mwezi eti anamishahara miwili kwa mwezi af mtaa tunaona maisha yao ni yale yale tu km ya walimu tena bora ata walimu, Jwtz mfanyakazi anamaliza mshahara baada ya wki 1 tu
Mi nazan wote mnaotoa takwimu ebu wekeni document official za serikal zinazoonesha iyo mishahara mnayodai mnaipata piga pic iyo salary structure weka humu tuone
Na km hamuwezi bas tuwekeeni link ya serikal inayoonesha mishahara ya wafanyakazi sekta na kada mbali mbali tukafungue tuone wenyewe tofauti na apo nyie wote ni matapeli tu mnaojaribu kuvutia upande wenu

Af ili suala la mishahara nmeona mara kibao watu wamekua wakiuliza wakitaka kujia why msiwawekee link wakaenda kusoma wenyewe wakajua
 
Huwezi kupambana na mwalimu kwenye usaili ukatoboza!! Walimu wana utaalam wa saikolojia na wana uzoefu wa kuongea kwenye hadhara!! Hakuna mwalimu asiyejiamini!! Halafu walimu wa leo siyo wachovu kama mnavyotaka kuiaminisha umma!! Tembelea shule yoyote ya sekondari au ya msingi ukacheki magari waliyopaki walimu!! Tembelea makazi yao uone nyumba zao binafsi walizojenga!! Kama uko kibaha tembelea Kibaha sekondari, tumbi primary, mkoani primary, nk. Kama uko Dar tembelea Tambaza sekondari, Azania sekondari, Benjamin Mkapa sekondari au shule yoyote ya primary!! Hata huko mikoani tembelea shule yoyote halafu linganisha na maisha yako binafsi!! Hutaamini macho yako!!!
-mwenzako kasema kuwa nyie Walimu mlitakiwa mfanye interview baina ya yenu nyie Walimu, hakumaanisha Walimu washindanishwe na wasio Walimu, halafu Mwalimu mzima huelewi vitu vidogo kama hivi.
- Kama ni Magari ya kifahari nenda HQ ya TPDC,EWURA,LATRA,EGA,TRA huko utakuta Discovery 3, 4 za kutosha, Huko Tumbi,Tambaza mostly ni IST,VITZ
 
Walimu Hawana dili Wala marupurupu ya ziada Kama kada nyingine, hiki Ndo kinawafanya kua maskini Sana

1. Dreva wa halmashaur ana mshahara mdg kuliko mwalimu ila atapiga dili za vifusi,mchanga,kokoto n.k night za misafara n.k

2. Afisa biashara au ardhi wa halmashaur ana mshahara mdg kuliko mwalimu,
Ila atapiga rushwa za leseni za kufa mtu.

3. Afisa mifugo au kilimo atapiga elfu tano tano za sindano mifugo ya watu au atalima mashamba yake uko uchochoroni kwa kutumia dawa au pembejeo za ruzuku za serikali.

4. Mfamasia atakula laki tano tano kila mwezi for free za cheti chake tu kutumika kwny maduka ya dawa ya watu uko mitaani uku katulia tu..

5. Daktar au nesi wa halmashaur,
Hawa dili za semina,mafunzo n.k Ni nyingi mno(covid 19, chanjo, ukoma, malelia n.k). Hapo bado hawajaiba vifaa Tiba na kuviingiza mtaani kwenye hospital binafs.
[emoji117] Kuna na mabwana afya kaam matrafiki TU, wanatupiga Sana elfu hamsin hamsi Za faini uku mitaani

6. Wahasibu na maafisa manunuzi wa halmashaur wanapiga Sana dili za kimahesabu na 10% wakishirikiana na maboss wao (wakurugenz) ili Kupiga Cha juu kwenye tenda na matumiz mbalimbali ya fedha kwny halmashaur.

7. Maengineer wa halmashaur Ndo kabsaa wezi wakubwa, wao kila mradi wa serikali wakipewa kusimamia Lazima umalizike na yeye tayar ana kijumba keshakijenga kwa material zile zile za mradi.

8. Maafisa masjala wao Ni Kama matrafiki au madalali wa viunga vya halmashaur, una faili lako pale kwa mkurugenz au mkuu wa wilaya,ili likimbie chap chap Lazima utamwachia elfu 2 au elfu 5 ya maji.

9. Afisa maliasili wa halmashaur Hawa Ni wazee wa madili na rushwa za misitu,mikaa,mbao na magendo mbalimbali ya serikali.

10. Afisa utumiishi Hawa ndio wazee wa madili ya watumishi hewa.
[emoji117]Mtu anafariki, ripoti haiendi hazina kusitisha mshahara. Inatolewa ripoti ya mwajiriwa kubadili account yake, mshahara wa marahemu wanaula hata miaka 10 mfulurizo bila yeyote kujua.
[emoji117]mtu anamakosa ya kinidhamu,kasimamishiwa mshahara. Ripoti haiendi hazina, inabadilishwa tu account. Wanaupiga kimya kimya. Ukisamehewa ukarudishiwa mshahara, ule wa nyuma hata uulizii.
[emoji117]mtu anaripoti Ila haendi kituo Cha KAZI, au anaacha kazi anaenda zake private kwa muda.
wanakula dili na afisa utumishi, wanaugawana nusu nusu huku yeye Yuko zake private sector anapiga Ela nyingine.

Kama Kuna mtumish mwngne wa halmashaur nmemsahau nikumbushe.

Ila kiuhaisia mwalimu nje ya mshahara sijui atapiga dili gani atoboe,

ukiachilia mbali suala la twisheni ambalo bado kipato chenyewe Ni kidg mno na jasho linalomtoka Ni jingi mno

Sijui atapiga dili gan jingine maana vitabu vyote vya serikali vimeandikwa "HAKIUZWI", boksi lenyewe la chaki Mtaani halizidi hata elfu 2.
10. Polisi hakuna haja ya kuwafafanua
 
-mwenzako kasema kuwa nyie Walimu mlitakiwa mfanye interview baina ya yenu nyie Walimu, hakumaanisha Walimu washindanishwe na wasio Walimu, halafu Mwalimu mzima huelewi vitu vidogo kama hivi.
- Kama ni Magari ya kifahari nenda HQ ya TPDC,EWURA,LATRA,EGA,TRA huko utakuta Discovery 3, 4 za kutosha, Huko Tumbi,Tambaza mostly ni IST,VITZ
Hoja ya post uliielewa?
 
Watoa takwimu acheni kuandika vtu why usituprintie bank statement ya kuonesha ivyo
Au why msitupigie pic ule mfumo wa mishahara sjui ndo inaitwa salary structure mm sio mwajiliwa sjui inaitwaje
Unaniambia mwalimu analipwa lk 7 kwa mwezi ila ukiwaangalia mtaa maisha yao weng ni magumu
Unaniambia mfanyakazi wa sekta zingne anapewa overtime ya elf60,000x15 lk900,000 na iyo ni nje ya mshahara afu bado maisha yao ni yale yale km ya walimu tofauti lbda wao naona wanamagari ya mikopo
Unanambia mwanajeshi kuruti private anaingiza million 1.2 kwa mwezi eti anamishahara miwili kwa mwezi af mtaa tunaona maisha yao ni yale yale tu km ya walimu tena bora ata walimu, Jwtz mfanyakazi anamaliza mshahara baada ya wki 1 tu
Mi nazan wote mnaotoa takwimu ebu wekeni document official za serikal zinazoonesha iyo mishahara mnayodai mnaipata piga pic iyo salary structure weka humu tuone
Na km hamuwezi bas tuwekeeni link ya serikal inayoonesha mishahara ya wafanyakazi sekta na kada mbali mbali tukafungue tuone wenyewe tofauti na apo nyie wote ni matapeli tu mnaojaribu kuvutia upande wenu

Af ili suala la mishahara nmeona mara kibao watu wamekua wakiuliza wakitaka kujia why msiwawekee link wakaenda kusoma wenyewe wakajua
Pole!! Jifunze kumtumia jamaa anayeitwa GOOGLE hautakaa uombe link ya kitu chochote!! Hayo unayoyatafuta utayaona kwa google search!!
 
Back
Top Bottom