Mlioko kwenye ndoa mnanizidi nini katika mazingira haya!

S
Sijawahi kuoa na sitokuja kujaribu huu utapeli.

Hapa nilipofika Nina watoto wanne toka kwa mama watatu tofauti..Nina wahudumia kikamilifu na kuwapa muda wangu kulingana na uwezo n nafasi yangu .
Tena hao mama wa watoto wangu ,wote walikubli kunizalia watoto bila mbambamba Wala kelele.DNA nimewapima na nawarushia mkwanja wainjoy na waume zao malofa.

Sijawahi kuona faida ya kuoa na wakati ninapata Kila nachokitaka kwa wakati.
Wew ulioko kwenye ndoa unakipi cha ziada ulichonishinda zaidi ya kuulinda uchi mweusi wa mkeo kama nyara za serikali.?
SIku ukifa watoto wa mama yupi watarithi mali zako?
 
Hutakiwi kushindana na watu wanaocheza mchezo tofauti na wewe.

Yani watu wanacheza soccer, wewe unacheza tennis, halafu unataka ushindane nao nani zaidi?

Kivipi hapo wakati mchezo wako tennis na mchezo wao soccer ni vitu tofauti ?

Yani wewe unajitapa kuacha wanao walelewe na watu baki katika dunia hii ya leo watoto wanabakwa mpaka na ndugu zao majumbani humo?
 
Wewe ndio lofa unatehudumia Mwanamke na Mume wake
Sijawahi kuoa na sitokuja kujaribu huu utapeli.

Hapa nilipofika Nina watoto wanne toka kwa mama watatu tofauti..Nina wahudumia kikamilifu na kuwapa muda wangu kulingana na uwezo n nafasi yangu .
Tena hao mama wa watoto wangu ,wote walikubli kunizalia watoto bila mbambamba Wala kelele.DNA nimewapima na nawarushia mkwanja wainjoy na waume zao malofa.

Sijawahi kuona faida ya kuoa na wakati ninapata Kila nachokitaka kwa wakati.
Wew ulioko kwenye ndoa unakipi cha ziada ulichonishinda zaidi ya kuulinda uchi mweusi wa mkeo kama nyara za serikali.?
 
Sijawahi kuoa na sitokuja kujaribu huu utapeli.

Hapa nilipofika Nina watoto wanne toka kwa mama watatu tofauti..Nina wahudumia kikamilifu na kuwapa muda wangu kulingana na uwezo n nafasi yangu .
Tena hao mama wa watoto wangu ,wote walikubli kunizalia watoto bila mbambamba Wala kelele.DNA nimewapima na nawarushia mkwanja wainjoy na waume zao malofa.

Sijawahi kuona faida ya kuoa na wakati ninapata Kila nachokitaka kwa wakati.
Wew ulioko kwenye ndoa unakipi cha ziada ulichonishinda zaidi ya kuulinda uchi mweusi wa mkeo kama nyara za serikali.?
Ndoa si kwa watu wote.

Marriage is not for everyone.
 
Hamna tunachokuzidi mkuu, pengine umetuzidi kila kitu. Ni uchaguzi tu ambao unatupa furaha katika wakati husika, hatuwezi kufanana wote na hii zawadi ya maisha yenye siku <130 kila mtu anazitumia siku zake kwa namna inayompendeza.
 
Back
Top Bottom