Mlioko kwenye ndoa mnanizidi nini katika mazingira haya!

Mlioko kwenye ndoa mnanizidi nini katika mazingira haya!

Binafsi nakuzidi 1. Malezi bora na mafunzo Bora Toka kwangu 2. Mtoto wangu anajua Mimi ndiye baba na mzazi wake inamana amekulia mikononi kwangu mpaka atapoenda kujitegemea 3. Kuna kitu flani kinajengeka kichwani kwake ataponiona tu nisieleze sana 4. Mazingira ya namna atakavyolelewa na Mme mwenzio tofauti na ww utakuta ww hupendi hiki mwenzako anapenda hiki pia mtoto aliyelelewa na mwenzio sio wako mtoto wako mpaka umpitishie vitu vyako
Mnaandika sana, mmepatwa na nini?
 
Ndoa ni muhimu sana katika maisha.
1. Ukiugua au kupatwa na shida unamtu sahihi wakuwepo hapo.
2.unauwakika wakula,wakupata nguo safi kwa wakati ,nyumba safi,akili yako itakuwa inawaza maendeleo .
Sio unakuja home hakuna hata mtu anayekupokea,kukufariji,kukujali,kukupenda,kukupa watoto na kuwalea kikamilifu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1781354539729.jpg
    FB_IMG_1781354539729.jpg
    40.7 KB · Views: 14
Sijawahi kuoa na sitokuja kujaribu huu utapeli.

Hapa nilipofika Nina watoto wanne toka kwa mama watatu tofauti..Nina wahudumia kikamilifu na kuwapa muda wangu kulingana na uwezo n nafasi yangu .

Tena hao mama wa watoto wangu, wote walikubli kunizalia watoto bila mbambamba Wala kelele.DNA nimewapima na nawarushia mkwanja wainjoy na waume zao malofa.

Sijawahi kuona faida ya kuoa na wakati ninapata Kila nachokitaka kwa wakati.

Wewe ulioko kwenye ndoa unakipi cha ziada ulichonishinda zaidi ya kuulinda uchi mweusi wa mkeo kama nyara za serikali.?
Baba na mama yako wanasemaje?
 
Nikweli mkuu but I am building wealth, not a family. My empire is evolving through assets, not emotions mzee!

Huwezi jenga empire bila Family.

Baada ya uhai kinachofuata kwa umuhimu ni Family.

Watoto wakiotoka familia duni na tabaka la chini hili hawafundishwi na ndio maana wataendelea kutawalua miaka nenda rudi.

Huwezi kuwa na watoto au kuita watoto ni wako kama hawapo kwenye mfumo wa familia unayoijenga.

Na family inahusisha Mfalme(Baba), Malkia(Mama) na watoto.

Kila mmoja ana play role yake kulinda ufalme.

Kama unajua mchezo wa Chess au Draft haya kwako hayawezi kuwa mageni
 
Kwa hiyo kukataa ndoa na utapeli ni kukwepa majukumu..??punguani

Ndoa ni utapeli kama hutokuwa makini kuchagua mwenza wako.

Sio ndoa tuu chochote unachofanya kama haupo makini kinaweza kukutapeli.

So ishu sio ndoa ishu ni wewe.
Maana wapo ambao hizo ndoa wanakula maisha na wanajenga himaya ambayo miaka nenda rudi hazianguki
 
Kwanini unataka kulinganisha maisha yako na wengine? Wewe ishi tu maisha uliyo yachagua,kitendo cha kuanza kufanya comparison na maisha ya watu wengine ni kama vile hujiamini na maamuzi yako au unatafuta Public validation ya maamuzi yako,just live your life,

Life isn't a race,it's a personal journey, Trust your pace, breathe, and remember that you are growing in your own time, in your own way.
 
Kwasasa ndoa inaonekana ni hasara!!Kwa type ya women's wa kizazi hiki!

Lakini ki asili ndoa Ina faida nyingi!

Familia!inafirahisha kutengeneza community inayoitwa kwa jina lako!

Japo kwa sasa pesa imetuharibia utamu wa familia!
 
Sijawahi kuoa na sitokuja kujaribu huu utapeli.

Hapa nilipofika Nina watoto wanne toka kwa mama watatu tofauti..Nina wahudumia kikamilifu na kuwapa muda wangu kulingana na uwezo n nafasi yangu .

Tena hao mama wa watoto wangu, wote walikubli kunizalia watoto bila mbambamba Wala kelele.DNA nimewapima na nawarushia mkwanja wainjoy na waume zao malofa.

Sijawahi kuona faida ya kuoa na wakati ninapata Kila nachokitaka kwa wakati.

Wewe ulioko kwenye ndoa unakipi cha ziada ulichonishinda zaidi ya kuulinda uchi mweusi wa mkeo kama nyara za serikali.?
Ndoto yako hii angalia usije ukawa umejikojolea?
 
Back
Top Bottom