Mlioko kwenye ndoa mnanizidi nini katika mazingira haya!

S
SIku ukifa watoto wa mama yupi watarithi mali zako?
 
Hutakiwi kushindana na watu wanaocheza mchezo tofauti na wewe.

Yani watu wanacheza soccer, wewe unacheza tennis, halafu unataka ushindane nao nani zaidi?

Kivipi hapo wakati mchezo wako tennis na mchezo wao soccer ni vitu tofauti ?

Yani wewe unajitapa kuacha wanao walelewe na watu baki katika dunia hii ya leo watoto wanabakwa mpaka na ndugu zao majumbani humo?
 
Wewe ndio lofa unatehudumia Mwanamke na Mume wake
 
Ndoa si kwa watu wote.

Marriage is not for everyone.
 
Hamna tunachokuzidi mkuu, pengine umetuzidi kila kitu. Ni uchaguzi tu ambao unatupa furaha katika wakati husika, hatuwezi kufanana wote na hii zawadi ya maisha yenye siku <130 kila mtu anazitumia siku zake kwa namna inayompendeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…