Mlioko kwenye ndoa mnanizidi nini katika mazingira haya!

Your GENIOUS bro, jamaa ni kubwa jinga Bora angesema wanalelewa coz ye hana uwezo, watoto wana liwa NYUMA mabinti wanaliwa mbele na baba zao wa kufika we unajitapa, watoto wengi walio fanyiwa ulawiti na kubomolewa bikra wametolewa na wanao walea, si Bure una shida kichwani kimbia hospitali haraka
 
Punguza mihemko na muandiko wako wa MEMKWA
 
Sisi tulio kwwnye ndoa tunakuzidi maugomvi maana kila siku tunagombana na kupigana viwiko usiku, wewe unafaidi nini peke yako kila siku?
 


😄😄

Hao watoto unaosema ni wako, wanakuwaje wako kama huna himaya?
Uliwahu kuona mfalme bila milki?
 
Kama unaona kuowa hakuna maana olewa wewe sasa ili siku ukiugua mmeo akuuguze akufulie na boxer zako🤣🤣🤣
 
Dogo kuakua kwanza ili uwe na akili ya kuyaelewa maisha na ustawi wake katika muono mtambuka.

Muda mfupi uliopita nimetoka kula na wanangu (familia) kwa furaha na upendo na hapa nilipo nimempakata mwanangu wa miezi 7 ananikwaruakwarua na vidole vyake hadi raha.
Hii yote ni kujenga bond iliyo imara na malezi bora kwa wanangu ili kesho na keshokutwa nao wawe wazazi bora wenye kufuata misingi na maadili.

Kuishi kwenye ndoa sio kumiliki mbunye kama udhaniavyo, isipokuwa ni kudhihilisha uanaume, uwajibikaji na uthubutu katika kukabiliana na changamoto za kimaisha ulizo sababisha mwenyewe.
 
Mbona mnashusha magazeti mazito?
 
Hamna tunachokuzidi mkuu, pengine umetuzidi kila kitu. Ni uchaguzi tu ambao unatupa furaha katika wakati husika, hatuwezi kufanana wote na hii zawadi ya maisha yenye siku <130 kila mtu anazitumia siku zake kwa namna inayompendeza....
###TuishiHumu###
 ###UmetishaTsh###
​
 
Binafsi nakuzidi 1. Malezi bora na mafunzo Bora Toka kwangu 2. Mtoto wangu anajua Mimi ndiye baba na mzazi wake inamana amekulia mikononi kwangu mpaka atapoenda kujitegemea 3. Kuna kitu flani kinajengeka kichwani kwake ataponiona tu nisieleze sana 4. Mazingira ya namna atakavyolelewa na Mme mwenzio tofauti na ww utakuta ww hupendi hiki mwenzako anapenda hiki pia mtoto aliyelelewa na mwenzio sio wako mtoto wako mpaka umpitishie vitu vyako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…