mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
- Thread starter
-
- #61
Mnaandika sana, mmepatwa na nini?Binafsi nakuzidi 1. Malezi bora na mafunzo Bora Toka kwangu 2. Mtoto wangu anajua Mimi ndiye baba na mzazi wake inamana amekulia mikononi kwangu mpaka atapoenda kujitegemea 3. Kuna kitu flani kinajengeka kichwani kwake ataponiona tu nisieleze sana 4. Mazingira ya namna atakavyolelewa na Mme mwenzio tofauti na ww utakuta ww hupendi hiki mwenzako anapenda hiki pia mtoto aliyelelewa na mwenzio sio wako mtoto wako mpaka umpitishie vitu vyako
Basi ni wako mkuu
Narudia tena, wewe ni MJINGAAcha povu na upunguze ukali wa maneno , hayawani mkubwa wew!!..sasa endelea nikutupia cha kukutupia
We una wazimu bwana niache!!!Kuoa na ndio ujanja n, Utu uzima na hekima au sio ?
Nikweli mkuu but I am building wealth, not a family. My empire is evolving through assets, not emotions mzee!Ni kama mtu anayejiita Rais alafu hana nchi anayoiongoza.
Hapo ulipo ukipiga hatua tatu mbele utapata jibu lakoNarudia tena, wewe ni MJINGA
Mjinga tunakueleza sisi kaka zako ujitambue kuliko kukwepa majukumu.Mbona mnashusha magazeti mazito?
Kwamba bado ananyonya titi la mama na kubugia nyasi laini?Wewe ni mwehu ndama kama jina lako,huwezi kuelewa
Lolote likukute kwa kufichuaUkute hauna watoto na hauna Hela😁
(Hauna vyote)
Baba na mama yako wanasemaje?Sijawahi kuoa na sitokuja kujaribu huu utapeli.
Hapa nilipofika Nina watoto wanne toka kwa mama watatu tofauti..Nina wahudumia kikamilifu na kuwapa muda wangu kulingana na uwezo n nafasi yangu .
Tena hao mama wa watoto wangu, wote walikubli kunizalia watoto bila mbambamba Wala kelele.DNA nimewapima na nawarushia mkwanja wainjoy na waume zao malofa.
Sijawahi kuona faida ya kuoa na wakati ninapata Kila nachokitaka kwa wakati.
Wewe ulioko kwenye ndoa unakipi cha ziada ulichonishinda zaidi ya kuulinda uchi mweusi wa mkeo kama nyara za serikali.?
Kwa hiyo kukataa ndoa na utapeli ni kukwepa majukumu..??punguaniMjinga tunakueleza sisi kaka zako ujitambue kuliko kukwepa majukumu.
Nikweli mkuu but I am building wealth, not a family. My empire is evolving through assets, not emotions mzee!
Kwa hiyo kukataa ndoa na utapeli ni kukwepa majukumu..??punguani
Ndoto yako hii angalia usije ukawa umejikojolea?Sijawahi kuoa na sitokuja kujaribu huu utapeli.
Hapa nilipofika Nina watoto wanne toka kwa mama watatu tofauti..Nina wahudumia kikamilifu na kuwapa muda wangu kulingana na uwezo n nafasi yangu .
Tena hao mama wa watoto wangu, wote walikubli kunizalia watoto bila mbambamba Wala kelele.DNA nimewapima na nawarushia mkwanja wainjoy na waume zao malofa.
Sijawahi kuona faida ya kuoa na wakati ninapata Kila nachokitaka kwa wakati.
Wewe ulioko kwenye ndoa unakipi cha ziada ulichonishinda zaidi ya kuulinda uchi mweusi wa mkeo kama nyara za serikali.?
Lol. 🤣Ukute hauna watoto na hauna Hela😁
(Hauna vyote)