Mlioko kwenye ndoa mnanizidi nini katika mazingira haya!

Muda baba! Ukifika muda utatamani kuoa, na utakuja kugundua ulichelewa.
Mtu pekee anayeweza kuvumilia kubeba mavi, mataapishi, mikojo yako ni mke wako. Siku ukipata changamoto ambayo itakulaza chini ndio utakapojua nafasi ya mke.
Ndie atakuogesha. Ndie atakayekuchambisha, kukuvalisha, kukupikia na kukuhudumia kwa karibu kabisa. Hakuna ndugu awe wakiume au wakike ambaye atakayeweza kuyafanya hayo.
Japo wake zetu wanashida zao lakini wana nafasi kubwa kwenye familia.
 
Shida ni pale utakapougua halafu ukose mtu wa karibu wa kukuhudumia 😛
 
Mimi nakuzidi akili na hadi nna ya kuvukia barabara. Shikilia hapo hapo.
 
Upumbavu
 
Kuna mtaalamu moja kutokea kule Tibeli ya kaskazini, ambaye ni mtibeli toleo la mwisho, alipata kuandika.

'MTOTO USIYE MLEA SI WA KWAKO NA SIO MRITHI WAKO'

Akaongeza tena Kijana wakati unatafuta maisha, tafuta na mke ili ujenge familia.

Ila kwa akili zangu mbili, nakuambia upo sahihi ila jiandae kuwa mpweke siku zako za usoni.

Shikilia hapo hapo usibadili msimamo hivyo naunga hoja kama bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…