Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Hayupo mwanamke mpumbavu kiasi hicho... acha kudanganya watu...
 
 
Kama mama wa familia lakini pia hata Baba ikitokea kama hii, Jambo la kwanza, You must be bold enough to handle your family members altitudes, discipline and action hata kama umekosea wewe. Jambo la pili, you must make sure you Take full authority and responsibilitie as mother or father kwasabb atakua amejua the character of my mother or father and if you show them your strength through your tones, body language and facial expressions on cofidencial matters, I m telling you for sure huyo kijana hakuna kitu atafanya au atasema japo for real umemuumiza mno na kumuathiri vibaya sana kisaikolojia, na ahueni au nafuu yake ni yeye kuishi mbali sana na wewe, ila pona yake ni uamuzi wa Mwenyezi Mungu ambao hata mie nashisdwa kusema. Epuka na acha Mara moja kumuuliza nikufanyie nini, hii ni kama kumkumbusha jinsi ambavyo ulimanua mapaja yako meupeee kwa mchepuko mchepuko. Pole sana Mama, chukua ushauri huu na usijekudhubutu kumshirikisha yeyote kuhusu hili, zaidi sana utaliwa tena na wazee wa kanisa na itakua mbaya zaidi Mpendwa, Amen 🙏 .
 
Akifuata ushauri wako ndoa itakata.
 
Chizi Maarifa naomba uje kuweka neno hapa. Bila wewe Mr VAR, hizi threads za sasa hivi siziamini kabisa
Huyu ni mwanaume ni Mwanaume hivi karibuni amefungua ID mpya 2 na za zamani anazo 2. Mpuuzi tu anataka watu waanze mfuatilia uchunguzi bado unaendelea kujua kama anataka
1. Awe anabakwa na wanaume
2. Anataka awatapeli

bado vijana wangu wanamfanyia kazi ndani ya masaa 24 wataleta report kamili. Ila apuuzwe tu.

Chizi Maarifa naomba uje kuweka neno hapa. Bila wewe Mr VAR, hizi threads za sasa hivi siziamini kabisa
 
Huyo dogo ni mpumbavu sana umemlea vibaya ww ni mama yake anapaswa akuheshimu tukio miaka 10 nyuma anajiona ye ndio kakuoa sasa cha kufanya we tulia kimya achana nae mumeo akiuliza mwambie sijui na akizidi kuchukia we tulia siku akimwambia mzee kataa futi mia kisha mpe makavu huyo dogo .
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pesa sabuni ya roho kweli
 
@mama firstborn, Hilo jambo ulishaamua kulifanya Lowe Siri nikuombe usije kujaribu kumwambia mtu yeyeote tofauti na wewe mwenyewe Kaa nalo tu Muombe mungu akupe utulivu wa akili pia kuhusu mwanao ongea naye Mara Kwa mara pale unapopata muda mweleze mambo ya dunia yalivyo na onyesha kwamba ulipitiwa shetani tu lakin uhalisia siyo lengo lako.
 
Uko kama mie tu, "the i love to live like " slogan , sijawahi kufanya jambo likanifanya nijutie mtu, najuta kwa makosa yangu tu.
Yani hata kama muwe watu buku against me, bado nitasikiliza nafsi yangu inataka nifanye nini.
 
Dhambi ukiificha huwa inapiga mayowe, ambayo huita watu wajue nn kinaendelea. Ukitaka kupona mwambie mumeo A to Z utakuwa umejiondoa kifungoni la sivyo utakuwa mtu wa wasiwasi tu
 
Kuproject power kwa mtoto aliyekuona Live ukimsaliti baba yake eti kwa sababu ni mama yake, haimsaidii mtoto na wala haimsaidii huyo mama yeye mwenyewe. Ni kidonda tu kwa pande zote mbili.

Kumbuka huyo kijana kamuona mama yake wakati bado ni mtoto ila umri wa kubalehe- Kumbukumbu huwa hazifutiki katika umri huu.

Pia kumbuka huyo mtoto kawa Injured kiasi gani kisaikolojia. Je dogo kapata tiba sahihi?.

Tena huyo mama ashukuru dogo kajitahidi kujisimamia, mwingine angeweza kugeuka teja, mvuta bangi au hata kujidhuru kwa trauma ya alichokiona.

Toba ya kweli kwa Mwenyezi Mungu na kumuomba arekebishe hali hii ndo itasolve hili tatizo.
 
Mpe na yeye
 
Hayupo mwanamke mpumbavu kiasi hicho... acha kudanganya watu...
Nenda uswahilini kakutane na mama wakiswahili ambao wamezao.walikuwa na maisha ila sasa wamefulia arafu wake zao.walizoea starehe nenda kapate uzoefu mama anaondoka.asubuhi nyumbani yupo kwenye pombe ndio balaa lipo.watoto mnapata story tu mama yenu ana.baba mpya some times baba mpya ni age mate wako na baba yupo nyumbani so usizani tunaongea vitu vya kusadikika vipo

Uyu mama kamdekeza mwanae ndio maana mtoto anavimba mzazi huwa akosei pamoja mzazi kukosea dogo asingekunja hivyo
 
Mzazi kakosea sehemu za biashara unaleta nuksi.
Mungu uleta tukio kupitia Hilo tukio uache Tabia Fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…