Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Ninachukia sana thread za kucheat, zinanifanya nikose imani na wanawake wote.
Nashauri zikome zinatuwekea sumu mbaya
Mkuu upo kam Mimi.. Mtu wangu ana utu na utulivu ila nkisoma izi thread makosa kbs imani kwake na kwa wanawake wote kiujumla.. ๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•
 
Mkuu upo kam Mimi.. Mtu wangu ana utu na utulivu ila nkisoma izi thread makosa kbs imani kwake na kwa wanawake wote kiujumla.. ๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•
Kuna kitu hakipo sawa.
Hizi nyuzi zinaletwa na ids mpya tu
 
ki umri una miaka kama 43 ama 45 hivi...??? mwanao anakupenda sana na anakuheshimu sana, shukuru kuhusu hilo... mtengenezee misingi ya kuwa mtu mzima... atakuelewa
Mtu wa umri huo ulioutaja hawezi kuwa na mtoto wa miaka 26 jombaa.
 
Mimi ni kawaida yangu kumcheat mume wangu, japo hajawahi kunitilia hofu kama nimewahi kumcheat maana mara nyingi navizia akiwa safarini ndo ninafanya hivyo. Maana ninajua kumcheta mwanaume ni hatari sana kwani wanaume wana wivu sana na hasira, kama mume wangu namfahamu ni mtu mwenye hasira sana, so nilijitahidi asijue kabisa.


๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ–•
Hiyo aya inatia ukakasi.
Hajazaliwa mtu wa kusema wti ni kawaida yake kumcheat mumeww.
Hii ni chai jaba
 
Ana mzigo mzito sana moyoni mwake mwanao, kuna siku ataongea tu ukimkera sana tena.

Ushachemka , kula tu ndumu utoe stress .
 
Afunge kinywa kwa kweli.
Kukร a kimya NI Busara.
Sio Kila kitu useme,vingine NI vya kufunga mdomo
 
Jinga kweli ww apo 10 yrs ago ulikuwa na miaka zaid ya 40 na unataka kupigwa pumb***u dukan kwel mwalimu wnu kipofu
 
Kama watu wote wa wizarani wanaandika kindezi kama wewe, bas ndo maana hii nchi inaliwa kiboya.
Subiri siku yako mumeo akiwa anakukata mapanga af dogo kashika miguu ili usikimbie.
Faken!
[emoji23]
 
Huyo mtoto wako anatabia za kiume bado hajachakachuliwa na huo ndo uanaume.

Mtoto wa kiume yeyote aliyekamilika anachukizwa sana kuona mwanamme mwingine anammendea mama yake tofauti na baba yake, hata kama baba yake keshatangulia mbele za haki ama kaachana na mama yake.

Hii tabia ya kiume, singo mama huwa wanaiua kwa watoto wao wa kiume kwa kuwapa malezi mabaya na kuwa manupulate wawe na tabia za kike. ambapo mtoto wa kiume hawezi chukizwa akimuona singo mama analiwa na mwanamme mwingine tofauti na baba yake. mfano: watoto wa mange, uwoya n.k hawawezi kuwa na tabia za kiume na maisha yao yatakuwa na changamoto hapo mbeleni.

Hata wewe kama usingekuwa unaishi na baba yake, ungemfanyia manipulations nyingi kumuhalibu huyo mtoto hata uchi ungempa.

Sasa usijiroge kuanza kuwatafuta watu wa dini mara wazee wa busara waende kumshauri, Dogo yupo loyal kwa baba yake na atamtunzia siri.

Bado anachuki na wewe kwa sababu haoni kama umebadilika na anahisi bado unaendelea kumsaliti baba yake.

Chakufanya ni ubadilishe tabia zako na uwe mtu mwema kwa baba yake, ukimfata fata na kuanza kumuomba msamaha na kumrubuni kwa zawadi unakuwa unamkumbusha umalaya wako unamuongezea chuki juu yako.

He will heal himself as time goes on, but it will depend on your behavior.
 
Asante kwa muhtasari kaka. Tunasubiria ripoti kamili.

Uongo umekithiri humu siku hizi
Vitoto vilivyomaliza darasa la saba na kidato cha nne mwaka jana vika fail ndo vimekuja kuharibu JF yetu. Vinakaa kuwaza ujinga na viki check movie vinakuja andika kama ni stories zao.
 
Untill you confess ndo huo msalaba utauepuka.
 
Mkuu upo kam Mimi.. Mtu wangu ana utu na utulivu ila nkisoma izi thread makosa kbs imani kwake na kwa wanawake wote kiujumla.. ๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•
Hao wa utu na utulivu ndio wabaya sasa.. Maana kwa unavyomchukulia siku ukigundua what's behind her inaweza ikakufika parapanda
 
Hii chai ๐Ÿ—‘๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ