Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Mwanamke akicheat hakuna kusamehewa.

Ukisamehe ndio uajiua mwenyewe kwa kisukari na presha

Amini maneno yangu
 
Kunichukia sina shida kabisa kwa sababu ishatokae, japo ninaumia sana, ataakiendelea kunichukia it's fine nitamuacha tuu.
Shida Baba yake ashajua mahusiano sio mazuri na atataka kujua shida ni nini.
 
Mwambie yule mchepuko akusaidie, na michepuko mingine
 
Ulikosea kumuomba msamaha kila cku, ungempa ile milion( au usingempa kabisa ndo ingekuwa nzuri)

Unapomuomba msamaha ni kama unamkumbushia tu kila cku, na anajiskia furaha ukiumia koz anataka ujutie tukio lile kila cku

Ungepotezea tu na kulisahau lingeisha, hofu ya kutaka kumuonga inakuhukumu, ila as anavyokuwa anaona ni kawaida maana wanawake wa sikuizi ndo walivyo tu
 
Mimi nimeweza kutunza siri ili nisivunje ndoa ya wazazi mpaka Maza amefariki na bdo dingi hajui kama kuna mtoto co wake, shida ni kwamba saizi baba halali wa mtoto anamtaka mwanae. Dogo ako na 19yrs nw. Mzee hajui lolote maskini.
Sasa unachukua uhamuzi gani kwa hilo.
 
Maza kaondoka ila kaniachia mzigo mzito sana. Ofcoz anamtaka mwanae ila nimemwambia awe mpole. Nipo njia panda.
Mtoto wa miaka 19 ni mkubwa sina uhakika kama hatakubali.
Na majina je kwenye vyeti kwa hatua hio ni ngumu sana
 
Huyo ni mtoto wa kiume; umemjerui kisaikolojia

Nakupa ushauri kama mwanaume:-
  • Hiyo hali ili iishe unatakiwa useme ukweli kwa mumeo​
  • Kwa sababu ni miaka mingi kama unavyosema, 10yrs back, najua kwa sasa mtakuwa na umri mkubwa ambao utawawezesha kufanya maamuzi ya busara.​
  • Muite mumeo umwambie ukweli, kama wote mtakuwa na kifua cha kuhimili hiyo hali lakini; baada ya hapo mtamshirikisha mtoto.​
  • Unaweza kumwambia, una dhambi kubwa inayokutesa moyoni, na inaweza kuchukua uhai wako kama usipoisema, ili upone muombe akusikilize na pia umwambie unataka uende madhabahuni kutubu​
  • Ukifanikiwa hilo, tatizo lako litakuwa limeisha na maisha ya furaha yatarejea kama zamani.​
 
Ongea nae tena mwambie Baba yako anaulizia kwanini Mimi na ww hatuko sawa na umwambie Jambo lishatokea hakuna jinsi akiona sawa kumwambia Baba yake ajue atakuwa kaharibu familia.
Mimi naona uache kumwabudu huyo dogo Jambo limetokea Miaka kumi uko saivi halina mashiko tena we hapo ni kubisha usije subuthu kukubali

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Chagua moja; mtoto na mume yupi bora?
 
Kwanini Usimpe Dogo akaichapa hiyo kitu?.


Mpe mwaya, Dogo akila ,atakaa kimyaa kabisaaa na atakuchangamkia
 
Ndo mana nimemwambia awe mpole, dogo nitakuja kumwambia ukwel ila cdhan kama ataweza kuhimili hili kama mimi. Ila kwa mzee acha iendelee kuwa siri tu.
Mwambie mtoto akiwa mkubwa kama 27 na kuendelea usimwambie sasahivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…