Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Hivi huyo dogo akikataa kuoa utamuuliza kwa nini hataki kweli ?

Kwa maana wewe mama mzazi kwake ndio ilikuwa kiigizo chema pakujifunza lakini badala yake kwako ndio anakuja kupata picha mbaya , itakuwaje kwa wanawake wengine atawaamini kweli?
 
Ni makosa makubwa ulifanya,lakini maisha lazima yaende.
Jiandae kwa lolote na kijana mkazie wala usimbembeleze.
Akue ayaone.Kadri unavyo mnyenyekea anazidi kukushusha thamani.
 
Sikuwa na yule baba kwa sababu ya pesa.
Yes I know because unazako ila yeye naye anazo right so kama upo tayari kurudi Kwa bwana hii nindoto why nikitu umezoena tayari walahi .

Itakuchukua muda kuwa mwema trust me , wewe mwambie mume wako , ukweli nenda kanisani fanya Toba uendelee kuamini ipo siku kijana wako atakusamehe mwombee akusamehe mwambie Mungu kwenye Toba akupe sura mpya ambayo mwanao atakudhamini kama awali .

Kingine maisha utakayo sio marahisi sijakusema kama wengine maana ikute wewe ni kama mama au kama dada yangu mkubwa so Mimi nimekaa nashauri kiakili .

Wewe unataka kutubu , kutubu nakuwa msafi ni shughuli ingine kabisa , maisha yatakuwa magumu sana . Kwanza utaibika utafedheheshwa utaishi Kwa wasiwasi na utaona life sio fair . Najua kwanini nasema hivyoo shemeji yangu alifumaniwa alikoma eti hadi alihama home so kama unaweza jitikwe madhambi sema yote kanisani na wanaume wote uliowahi kucheat nao unawataja basi ukweli unamfanya mtu awe huru
 
Mimi nimeweza kutunza siri ili nisivunje ndoa ya wazazi mpaka Maza amefariki na bdo dingi hajui kama kuna mtoto co wake, shida ni kwamba saizi baba halali wa mtoto anamtaka mwanae. Dogo ako na 19yrs nw. Mzee hajui lolote maskini.
Duuh msalaa sanaa...!!
 
'Ni kawaida yangu kucheat..'
We mama sio mzima kichwani

We cheat only when we fall in love and there is intese chemistry sio tu unalala na kila mtu.,ili iweje?
Sasa wewe una tofauti gani na mtoa post? Hivi wanawake nani aliwaloga? Eti we cheat because we fall in love and there is intense chemistry[emoji1787]


Si ni bora basi usiolewe uendelee kutafuta hiyo FALL IN LOVE na hiyo INTENSE CHEMISTRY YAKO
 
Huwa inaumiza sana Kuna jamaa alijinyongaa kisaa mama ake alikuwa analiwa na vijana wenzake wakawa wanamkejeliii...!! Hatari sana
 
Vitoto vilivyomaliza darasa la saba na kidato cha nne mwaka jana vika fail ndo vimekuja kuharibu JF yetu. Vinakaa kuwaza ujinga na viki check movie vinakuja andika kama ni stories zao.
Inahitajika pawe na joining instructions hapa JF
 
Makavu live[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi binafsi haziivi na baba wa kambo hata mama anajua. japo baba mzazi alishafariki,ila kusema ukwel huyu baba wa kambo ananipenda sana ila simpendi hata kidogo naweza hata nikampita bila kumsalimia
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hapo cha msingi ni kumtafutia dogo mke na kumpeleka mikoani uko nje ya n hi😅
 
Kama ni kweli, wanawake wajifunze jinsi wanaume wanavyokuwa akikukamata ukicheat, huyo ni mtoto, baba bado hajaipata hiyo habari

wewe Muombe Mungu wako tu aweke busara na utulivu katika nyumba Yako, huyo mtoto hawezi kubadilika, Mungu ndio anaweza tia utulivu hapo, na hiyo anaenda nayo katika nyumba atakayokuwa baba.

Amani anaweza kuipata kutoka kwa baba yake kama baba atapata habari na akaichukua kwa utulivu.

Muombe Mungu tu hakuna namna,
 
Ushauri ni kwamba uache umalayxxx utakufa kwa miwaya na kumponza mumeo bure.
 
Watu watashauri sana lakini hii kitu ya kuamini watu wa kanisa wa solve matatizo ni ulimbukeni mkubwa sana tena ni kujichoresha na haitakuwa siri tena bali ni kila mtu atajua na utaficha wapi uso.

Usiwape watu faida, huyo mtoto wako tayari anampenda dady siku yeye akipata mchumba akatoka home case yako naye itaisha huwezi amini, mi nikivaa viatu vya dogo inaumiza lakini sina budi kukusamehe kama mzazi.

Sikia mtafutie dogo demu mzuri ataye mfarahisha ila hakikisha awe pisi kali ili dogo adate ajue mama amenifanyia kitu ambacho sijawahi kipata ikiwezekana mpange demu na mpende huyo demu ili ampe dogo manjonjo huwezi amini dogo atasahau ila hivi hivi ukimpa material things kama nyumba na gari hatofurahi kwanza anaona umeongwa huko ukamletea.

Fanya hivo maza ila pole maana huo ni msala mzito sana, pia mzee akitangulia mbele za haki hii kitu itaweza pungua kwa dogo au kuongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…