Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Najua hilo kuna kipindi nilipuuza tuu. Ila si unajua yule ni mtoto wangu, sasa mahusiano naye yamekufa kabisa kwa sasa.

Nawaza sana sijui ananionaje mimi mama yake.
Mtoto wako anakuona malaya
 
Tatizo hujasema alikuwa na umri gani? Kiujumla umemuathiri sana mwanao kisaikolojia anakuona malaya tena mbwa, na hatakuja kukupendwa kamwe,na hiyo siri inamtesa ipo siku atakuja kuitoa tu, labda aanze yeye kufa yeye
 
Aaaaaa alijisikiaje huyo dada duuu
Dada yetu alifaint kila saa akikumbuka analazwa huyo mdingi hadi HIV alikuwa nayo hakuwa mzima ila sister alikuwa Hana na kichanga chake . Maana sio muda alikuwa uzazini
 
Hii imenikumbusha kuna rafiki yangu akiwa na umri kama wa miaka 16 ivi alishuhudia mama yake mzazi akiliwa chumbani na msela tu usiku na yeye akiwa amelala chumba kingine na mama alikuwa anatoa miguno kama yote yule rafiki yangu aliniambia aliamua kuondoka kabisa pale nyumbani ili amuachie mama yake uhuru aliwe vizuri.wamama kuweni na huruma jamani mda mwingine suluhu pekee ninayoiona hapo ni huyo kijaa aondoke apo nyumbani akajitegemee kwanza umri unamruhusu kabisa.Yule rafiki yangu aliamka asubuhi kama hajui kitu japo mama alikuwa anaona aibu sasa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wanaume katika umri wao wa utoto na ujana huwa tunakuwa na wivu sana na mapenzi ya kweli kwa mama mzazi na wakati mwingine dada zetu, ni wanaume wote.

Huyu kijana mtafutie mtaalamu wa psychology amfanyie cancelling
 
Huyo mama alijisikiaje daaa mpaka sasa
 
DOGO KATU HATOKUWA NA MAHUSIANO YA DHATI KWAKO MILELE YOYOTE ANGALAU PIA ANGEMWABIA BABA AKE KIDOGO INGELETA AMANI

PIA INAWEZA IKAWA NAFUU KWAKO UKAAMUA KUDAI TARAKA ATLEAST MTOTO ATAKUWA NA AMANI KULKO KUONA BABA AKE ANAMEGEWA MKEWAKE KIZEMBE

HESHIMA ALIKUWA MTOTO WAKO NA UPENDO HAIWEZ RUDI , HUYO NI MTOTO WA KIUME NA ANAJUA UANAMU NINI
 
Kama wewe ni Mkristo fanya yafuatayo;

1. Fanya toba ya kweli kweli, funga siku kadhaa kwa ajili ya kuomba msamaha wa Mungu juu ya suala hili.

Kumbuka, hapa umemkosea Mungu mwenyezi. Hivyo, ni lazima upate muda wa siku kadhaa za kujutia makosa yako mbele za Mungu. Nakudhauri ufunge walau kwa siku tatu (sio tatu kavu)

2. Baada ya huo mfungo wa kujutia makosa yako na kuomba toba, endelea kuwa na ratiba ya kawaida ya kupata mda mfupi wa kuomba kwa anili ya upatanisho.

Omba Mungu akupe upatanisho kati yako na mumeo, ili hata akijua baadae kuhusu hili suala, Mungu ampe moyo wa uvumilivu na kusamehe. Kumbuka hakuna kitu kinatuuma sisi wanaume kama kuwa na uhakika kuwa mkeo kaliwa na mtu mwingine, maumivu yake huwa hayapimiki. So ombea upatanisho mapema.
Pia, ombea upatanisho kati yako na mtoto wako. Omba sana Mungu amwondolee maumivu mtoto wako. Anapitia maumivu mengi sana, ni vile wewe unachukulia poa kwa kufikiri zawadi pekee zinaweza kumsahaulisha. Mpe Mungu hii kazi amnusuru kijana wako ili arudi kwenye misingi yake. Vinginevyo wewe kama mama utaendelea kukosa control kwa mwanao, kitu ambacho sio sawa.

3. Kuhusu mwanao nakushauri uache kumpa misimamo ya kwamba wewe ni mama yake so anapaswa akuheshimu. Just give him space na uendelee kuwa mtiifu mbele za Mungu bila kuipa familia yako pressure. Utamwona baadae tu anarudi kwenye misingi yake kama mtoto na utaendelea kufurahia.

Kumbuka huyu mtoto anapitia wakati mgumu kisaikolojia, kumkuta mama yake katika mazingira ya kufanya mapenzi na mtu mwingine inaleta illusion kwa mtoto. Yaani ni bora mtoto wa kike amkute mama yake kwenye mazingira kama hayo, au mtoto wa kiume amkute baba yake mazingira ya kufanya mapenzi, uchungu wa hapa hutofautiana. Sijui kama unanielewa.



N.B. Kimaandiko, mumeo ana haki ya kukupa talaka, kwa sababu za usinzi. Wahi kufanya toba na kuomba upatanisho.
 
Kwani kutubu dhambi ni kumuomba msamaha muhusika ili akusamehe,na Mungu naye ndiye akusamehe.Au muhusika asipokusameha Mungu anaweza kukusamehe?
 
Sasa huyo dingi kama yupo humu tayar ushamwaga mchele kwenye kuku wengi
 
'Ni kawaida yangu kucheat..'
We mama sio mzima kichwani

We cheat only when we fall in love and there is intese chemistry sio tu unalala na kila mtu.,ili iweje?
Kha kwa hiyo sie ambao hatujawahi gegeda wake za watu ni kwamba they dnt have intense chemistry towards us
 
Alafu mkijua mnakuja kusema maovu yenu mnafungua ID mpya et?

Hapo ujahasirika wewe tu bali umehasiri hadi mahusiano yake, mda unajionea huruma wewe fikiria kwa mwanamke atakuja kuwa nae atakuwa anamchukuliaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…