Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Kwani kutubu dhambi ni kumuomba msamaha muhusika ili akusamehe,na Mungu naye ndiye akusamehe.Au muhusika asipokusameha Mungu anaweza kukusamehe?
Dhambi iliyofanywa kwa Siri hutubiwa kwa Siri.Tunawasamehe waliotukosea KILA siku hata Kama hawajaomba MSAMAHA.ATUBU MOYONI MWAKE INATOSHA ILI KUEPUSHA JANGA ZITO .
 
Sasa wewe una tofauti gani na mtoa post? Hivi wanawake nani aliwaloga? Eti we cheat because we fall in love and there is intense chemistry[emoji1787]


Si ni bora basi usiolewe uendelee kutafuta hiyo FALL IN LOVE na hiyo INTENSE CHEMISTRY YAKO
Tulia kiongozi
As if nyie huwa mko waaminifu hadi kufa
Huu mchezo hautaki hasira kbs
 
Kha kwa hiyo sie ambao hatujawahi gegeda wake za watu ni kwamba they dnt have intense chemistry towards us
Women make love with feelings
U need a reason yani
Ndo mana namshangaa huyi bidada unless labda anauza
 
Tatizo hujasema alikuwa na umri gani? Kiujumla umemuathiri sana mwanao kisaikolojia anakuona malaya tena mbwa, na hatakuja kukupendwa kamwe,na hiyo siri inamtesa ipo siku atakuja kuitoa tu, labda aanze yeye kufa yeye
39
 
Wanawake akili zetu ni zetu wenyewe.

Haya mambo ni kutulia nayo moyoni, ni aibu kuyasema
Yaan huyu ndugu kaweka wazi alama zote za kumjua. Hata majirani wanaomfaham wakisoma hapa watajua na mme wake anaweza pata hii taarifa. Wanawake jaman nani kawaloga?
 
ila wewe mama wewe.......anyway mwanao ameshajua mamake ni MALAYA....hapo ndipo panapomuuzi....
-kwa umri wa dogo atakuwa na kadem kake!!!!..hiyo namba 1 chezea hapo....usithubutu kumwambia mtu yeyote....utajutia hilo...sogea zaidi kwa MOLA.....wewe kama wewe....kwanza hukupaswa kumuomba msamaha.....umalaya ni ujasiri.....kuwa na ujasiri wako.....hiyo ni 2..........mroge... nasema mroge.....si unataka kujisitiri na UMALAYA wako...mroge....jitunzie zezeta lako milele.........
 
Mwanao ameshuhudia mengi sanaa kutoka kwako!

1. Je wewe ni mnywaji ?
2. Je wewe ni modern au traditional woman?
3. Nadhani amekushuhudia sana uki mtreat baba yake like shit!
4. Watoto
Kids are just tiny human being / watoto wanaweza kun'gamua siku zote zenye ilikuwa unaenda kuliwa wakat baba yao kalala nje!!!
5. Do you dress like a mother of 4 kids au ndio ukisasa !

Unapoamua kuwa mama au baba
Hupaswi kuwa mbinafsi na unatakiwa kusacrifice mambo mengine yote to keep your kids happy!

Mimi ninachokushauri change your ways
 
Mzazi hakosei. Kuwa mkali maana kama ni maji yameshamwagika, hayazoleki. Likibumburuka unamruka huyo dogo futi mia.
 
Hivi mnawezaje kuishi na mtoto anakupanda kichwani namna hio??
Aisee familia za kishua changamoto sana
Hio ilitakiwa imtese kisaikolojia tu ila sio kumnunia mzazi, nawewe unamzidisha ujinga mana you seem to give AF

Wakati mwingine lea watoto kwa mkono wa chuma,kila mtu ajue nafasi yake! Nmemuzaa hujanizaa unanileteaje wazimu kwanyumba yangu?? Mtu ananuna unampa hela oh mara gari Kumaanina!!! Angekua mwanangu angekuja kuanzisha mada humu
 
Huna faida gani unajinasibu kumcheat mumeo ni kawaida sana.unawajenga nini watoto wako Wa kike.ndio maana tunasema ukitaka kuoa familia flan chunguza matendo ya mama.

Uzinifu mbaya sana toba ya kweli ni ya kusameheka piga magoti mbele ya mumeo kil makosa yako ya usaliti ulio kubuhu

Na hilo swala litakitafuna sana mana mumeo hajui Ila we mtendaji ndio unaumia sasa faida yake nini
Umr wako Na matendo yako Na Hii hadith yako haviendan kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…