Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Una mtoto wa miaka 26 bado tu unafanya UZINZI nje? Ningekuwa huyo mtoto ningemwambia tu Baba mauchafu unayofanya....Wanawake walioajiriwa /wafanyabiashara % kubwa (90%) wanafanya ushenzi sana wakiwa kwenye harakati zao.
 
Huyo mwanamke amefanya makosa makubwa sana (grave mistake). Mwanamke anapokuwa na watoto wakubwa ambao ni watu wazima, anapaswa ajiheshimu Sana hususani kuhusiana na suala hili la mahusiano na wanaume wengine wa nje ya ndoa.
 
Kwann watoto wa kiume huwa tuna wivu na mama zetu sana....?
 
Wale wakulungwa wa KATAA NDOA wanakuja ushauri mzuri kwa ajili yako
 
Huyo mwanamke amefanya makosa makubwa sana (grave mistake). Mwanamke anapokuwa na watoto wakubwa ambao ni watu wazima, anapaswa ajiheshimu Sana hususani kuhusiana na suala hili la mahusiano na wanaume wengine wa nje ya ndoa.
Nilisikiliza jana interview ya "CHINO MWANAWANE" -CHINO WANA MAN-alisema tangu azaliwe hajawahi kuona mama yake ana uhusiano nje ya baba yake na hajawahi kuona baba yake akigombana na mama yake ,hii ina maanisha mwanamke akitulia/akijiheshimu hauwezi kuwa na ugomvi kwenye familia.

Tatizo wanawake wa ziku hizi wanataka mashindano(baadhi) ndiyo maana wanachapwa sana nje ,ukiona mwanamme anatoka nje means mwanamke ameshindwa majukumu yake ,kivipi ameshindwa muda mwingi yupo chitchat ,muda mwingi yupo busy for nothing na kusahau majukumu yake na kupelekea m/me kuona kama anadharauliwa.
 
Ile siku siwezi isahau. Ulifanya uzembe sana. Mpaka leo nikikumbuka nasema hii dunia wanaume huwa wakati mwingine tunaoa majini tunayaweka ndani. Sina hamu kabisa na wewe. Ndo maana nikiwaza kuoa nasita sana....sielewi kwa kweli. Ila basi ndo hivyo. Nyie wanawake wenye makomwe hamna akili kabisa. Hamwangalii mbali.
 
Mimi ni ile milioni moja iliokabidhiwa kwa mtoto. Nathibitisha kua stori hii ni ya kweli
 
Nyamaza kabisa na usimbembeleze mwanao kabisa na usimpe pesa wala kumnunulia kitu maana hivyo vitu ndio vinamtia hasira kuwa unamuhonga.
 
Mpunguze Umalaya unakuwa km mke wa mstaafu wa Msoga huridhiki na dhakari ya nyumbani ?
 
Kama ingekuwa ni kweli, basi kinachosikitisha ni kuwa hapo hauna mtoto wa kiume. Mwanaume hayupo hivyo hasa kwa mama yake. Labda kama ni mtoto wa kike tena mdogo sana ila 26 naye asingekuwa kama huyo mvulana.
 
Una mtoto wa miaka 26 bado tu unafanya UZINZI nje? Ningekuwa huyo mtoto ningemwambia tu Baba mauchafu unayofanya....Wanawake walioajiriwa /wafanyabiashara % kubwa (90%) wanafanya ushenzi sana wakiwa kwenye harakati zao.
Wacha wagegedwe mbususu sii zao jamani...tusiwapangie matumizi ya kiungo chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…