Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

Kiukwel hayo matukio yanauma sana Tena sana Kwa kijana wa kiume ushuhudie kabisa upuuzi anaoufanya mama Tena hamshukuru jamaa anakifua ningejuwa mm mapema sana Kwa dingi asije kufa na ngomaaaa buree😂😂😂🕺🕺🕺
 
Ulichokosea ni kuongea naye kuhusu hilo jambo. Hukupaswa kuongea naye kabisa, ungeacha tu apambane nalo moyoni mpaka liishe.
 
Ni mwaka wa pili sasa mtoa madam tupe mrejesho. Wanawake walio wengi walioenda shule na kuwa na kipato cha mwezi hata kama ni laki moja uaminifu ni karibia na sifuri.Ndoa nyingi za sasa zinavunjwa na wanawake.Ndoa nyingi za zamani zilifanikiwa sababu ya wanawake wavumilivu na wenye sifa za kuitwa wanawake.Tutegemee mengi katika zama hizi za "women empowerment"
 
Mwendo wakushare mbususu.
Mie wanachonikera ni kwamba wanacheat lakini ukisemantupige 3some na huyo jamaaa eti wanakataa🤣🤣🤣🤣
 
Hii story inanikumbisha mbali sana kipindi nipo mdogo kama nikiwa wa miaka 12 hivi niliwahi msikia mama yangu mzazi mara kwa mara anaongea na simu na mwanaume mwingine mambo ya mapenzi Hadi wanakissi ni dhahiri kabisa alikua anamchiti baba yangu .lakini sikuwahi muonyesha kama najua hyo issue nmekaa kimya Hadi Leo sijawahi mwambia mtu yeyote kwa sababu sikutaka ajisikie vibaya km hvyo.
Nashukuru Mungu hakuchukua mda hyo tabia aliiacha mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…