Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mitaa ya hovyo Washngton Dc? Katikati ya jiji?Hata Marekani kuna mitaa ya hovyo namna hii.
Kweli bhana,ni Kama anawasaidia wageni kutudharauAlafu huo sio uzalendo mkuu...
Anavofanya jamaa ni ushamba..Hakuna mzalendo Tanzania hii
Kabisa mkuu..Kweli bhana,ni Kama anawasaidia wageni kutudharau
Time will tell..😂😂🙌Waarabu wetu watatukanda saa ngapi?
Mitaa ya hovyo Washngton Dc? Katikati ya jiji?
Kabisa mkuu.Hakuna mzalendo Tanzania hii
HakunaHata Marekani kuna mitaa ya hovyo namna hii.
Hakunahata ulaya kuna sehemu hizo pia