Mlioko mikoani msiongopewe hili ndio Jiji hali la Da’s laam

Mlioko mikoani msiongopewe hili ndio Jiji hali la Da’s laam

Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya.

Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na kuipost kwenye page zao.😀

View attachment 2947919
Wameacha kupiga upande wa Flyover ya Uhasibu , wakaona watafuta angle mbovu kabisa ni wamepiga, daah
 
Back
Top Bottom