Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
😁Kabisa KabisaHiyo club iliyopiga picha lolote liwakute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁Kabisa KabisaHiyo club iliyopiga picha lolote liwakute
zitaje hizo sehemhata ulaya kuna sehemu hizo pia
Weka picha tuione hiyo mitaa.Hata Marekani kuna mitaa ya hovyo namna hii.
NightTime will tell ndo saa ngapi bro
Msikilize CAG ndio utajua nchi hii kuna mzalendo au hakuna.Kweli bhana,ni Kama anawasaidia wageni kutudharau
Na hapo ndo tunafikiaUkiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya.
Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na kuipost kwenye page zao.😀
View attachment 2947919
Weka pichaHata Marekani kuna mitaa ya hovyo namna hii.
Nadhani aliyeweka hii picha hapa ndio mzalendo ikiwa ina ukweli,km siyo mazingira halisi ya eneo tajwa basi atakuwa siyo mzalendo.Kweli bhana,ni Kama anawasaidia wageni kutudharau
Kama jiji gani ulayahata ulaya kuna sehemu hizo pia
Kuna ubovu upi na wanaishi Watanzania wenzio?Wameacha kupiga upande wa Flyover ya Uhasibu , wakaona watafuta angle mbovu kabisa ni wamepiga, daaha
Aibu aibu iwe juu yenu..Kuna ubovu upi na wanaishi Watanzania wenzio?