KUKU_UFUGAJI
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 857
- 1,727
Yaani kwa picha hii alafu bado simba afungwe, aiseee siyo Poa.Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya.
Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na kuipost kwenye page zao.😀
View attachment 2947919
Hajasema uongo, kaonesha uhalisia.Anavofanya jamaa ni ushamba..
Mzalendo awezi fanya mambo kama hayo..
What next baada ya uhalisia...Hajasema uongo, kaonesha uhalisia.
Ndugu yangu wewe unauita unafki ndo uzalendo.
Na pia kudhani watu wa nje wanaichukulia Tanzania kama nchi flani bora ni kujidanganya sana.
Hilo neno limekaa kinadharia sana inawezekana kila mtu ana maana yake.What next baada ya uhalisia...
Ila unaelewa maana ya uzalendo we jamaa
Anachofanya huyo jamaa hapo juu ni sawa...🤔🤔Hilo neno limekaa kinadharia sana inawezekana kila mtu ana maana yake.
Kukubali nchi yako haijaendelea ni uzalendo, kwasababu hatua ya kwanza ya kutatua tatizo ni kulitambua.
Ni sawa, kaonesha uhalisiaAnachofanya huyo jamaa hapo juu ni sawa...🤔🤔
asante homeboy all the way from mlima meru. sengerema blaaadfwaken kantri wanataka tudanganye. mimi huwa nawaambia ukwle tz umeme shida maji shida miundombinu sifuri.Hajasema uongo, kaonesha uhalisia.
Ndugu yangu wewe unauita unafki ndo uzalendo.
Na pia kudhani watu wa nje wanaichukulia Tanzania kama nchi flani bora ni kujidanganya sana.
Sawa sawa 😂😂Ni sawa, kaonesha uhalisia
Ndo Daslam yetu bana 😂Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya.
Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na kuipost kwenye page zao.😀
View attachment 2947919
Sasa hapo hapo picha hii ilipopigwa,hapo ndani ndichi hapo ndiyo kulikuwa na kijiwe pendwa cha kiroboto(nature)vilevi vya bei poa vilipatikana hapo,bila kusahau sigara bwege,ilivutwa hadharani tu.Kwahiyo hapo ndo Temeke? Kwa juma nature wa TMK halisi ni wapi?
Weka picha