Mlioko Muhimbili Hospital tafadhali tupeni updates za mara kwa mara kwani tayari huku Mitaani Uchuro kwa Mgonjwa wa Serikali imeshaanza

Status
Not open for further replies.
Kwani wamitulinga unasumbuliwa na ugonjwa gani mkuu?
 
Taarifa ya kifo haiwezi kuwa taarifa ya kushtukiza kwakua hakuna binaadam anae tarajiwa ataishi milele
Kwahiyo punguza hisia subiri taarifa rasmi maana kifo ni kifo tu wote tutakufa na pengine wa ICU akapona na sisi tunaojadili habari za walio ICU tukatangulia
Mtu akifa hata Kama ni adui yako Wala siyo ushindi kwako maana nawewe utaenda tu hakuna Cha kufurahisha Wala Cha kushangaza juu binaadam kufariki.
 

Kmmk!😎😎
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…