Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Shekeli ipo Ya kutosha au ni aje ni ajenjoo PM tujadili kuhusu valentine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shekeli ipo Ya kutosha au ni aje ni ajenjoo PM tujadili kuhusu valentine
😁mimi ndio tajiri la kikongo, haya nakusubiri j5Naona safari hii umejitahidi, basi jumatano
Kwani wamitulinga unasumbuliwa na ugonjwa gani mkuu?Sasa kwanini walioenda leo Wote walikuwa na Majonzi mengi huku wengine Wakilia hadi Kutushtua na Sisi wapita njia tu pale?
Mimi Mtu akiwa ICU hasa kwa tatizo la Kisukari, Ini na Figo huwa naogopa mno na nakata Tamaa kabisa ya kuendelea kuwa nae kwa Siku za Usoni.
Genta?mleta mada ni rahisi sana kumfahamu,kama umetumia JF muda mrefu unamjua kwa ID yake ile iliyopigwa ban mara nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23] nimejiuliza sana huu mwandiko nikawa nahisi tumleta mada ni rahisi sana kumfahamu,kama umetumia JF muda mrefu unamjua kwa ID yake ile iliyopigwa ban mara nyingi
PopomaUmeandika kama vile umefurahia mauti ya mtu, we ni binadam wa aina gani???
POPOMA Antibiotique ama?mleta mada ni rahisi sana kumfahamu,kama umetumia JF muda mrefu unamjua kwa ID yake ile iliyopigwa ban mara nyingi
Kufa JPM ni sherehe, kufa MTU wako ni majomzi. Akili yako ni ...Umeandika kama vile umefurahia mauti ya mtu, we ni binadam wa aina gani???
Mycn .... MulemuleGenta?
Dege jon mla mizogaView attachment 2117724
Anatabia za huyu
Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza kwa Watanzania wengi japo wengine Walilia yale Machozi ya Kitunguu Swaumu au ya Samaki ndani ya Maji.
Na nyie Ndugu wa Mgonjwa wa Serikali hebu acheni kila mara Kuficha au Kufumba kuhusu hali ya Mgonjwa kwani mnatuchanganya zaidi mpaka wengine Machozi yanaanza kututoka.
Kabla sijaingia Ibadani Kusali Usiku huu nataka nimtafute Daktari Mmoja aniambie ni kwanini Siku moja aliwahi kuniambia ukitoka Salama na Hai ICU basi Katambike Kwenu au Chinja Mbuzi ule Kitabibu ukiwa huko una 90% za Kutoendelea Kufokafoka na 10% za kuendelea kuwaona The Big Five Animals wa Mbuga nzuri niipendayo ya Mikumi Mkoani Morogoro.
Ibada mbalimbali za Kumuombea Mgonjwa wa Serikali ziendelee tafadhali hata kwa wale walioko Belgium muda huu wakinywa Wines na Whiskeys huku wakiitafakari Tanzania Bara na Tanzania Visiwani yao.
Kama Watanzania tumeweza Kuiombea Corona na ikatuogopa na kama Watanzania tuliweza Kuiombea Mvua na zikayesha nina uhakika kwa pamoja tukimuombea Mgonjwa wa Serikali ili asiyaanze Maisha yake mapya Frijini Wadi ( Wodi ) namba 26 Muhimbili National Hospital inawezekana na atapona tu.
Kuna Mtu ( Watu wa Uchuro ) wanadai kuwa Hesabu ya Israeli Katili na Mchomoa Betri maarufu huenda ikawa imeshakamilika na kinachofanyika sasa ni Kutuandaa tu taratibu Kisaikolojia ili baadae ikiwa ni kweli tusije Kushtuka au wengine hata Kuzimia na ikiwezekana hata Kufuatana nae alipopangiwa kuwepo Kimya Milele na Mwenyezi Mungu.