Mlioko Muhimbili Hospital tafadhali tupeni updates za mara kwa mara kwani tayari huku Mitaani Uchuro kwa Mgonjwa wa Serikali imeshaanza

Mlioko Muhimbili Hospital tafadhali tupeni updates za mara kwa mara kwani tayari huku Mitaani Uchuro kwa Mgonjwa wa Serikali imeshaanza

Status
Not open for further replies.
Apone Haraka Aendelee Kulijenga Taifa
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Jiwe
Tunatishana Sana Ndugu Zangu Vigogo Wapukutika, Vigogo Wafa
Ni Uzushi Mtupu, Kufa Wote Tutakufa
Tumtangulize Mungu Mbele
 
Uandishi wako unasadifu furaha kwa mateso anayopitia binadamu mwenzio, hii sio tabia ya binadamu wa kawaida huu ni ulozi. Jitathimini!!!
Pumbavu nimekuvumilia na nimewavumilia vya Kutosha. Hivi kuna Jina la Mtu ambaye huenda Wapumbavu wengi mnamdhania na nimemtaja hapa?

Hivi Tanzania kuna Mgonjwa wa Serikali? Acheni kuwa na Viherehere kama Shahawa za Bao la Kwanza sawa?

Sijamtaja Mtu yoyote hapa na kama mnamhisi huyo mnayemhisi Mimi hainuhusu na hayuko katika Mtu niliyemlenga na mwenye uhakika kuwa nimemlenga Yeye aweke Uhalisia mzima hapa.
 
Aisee!
90% za Kutoendelea Kufokafoka na 10% za kuendelea kuwaona The Big Five Animals wa Mbuga nzuri niipendayo ya Mikumi Mkoani Morogoro.
Kumbe alikuwa mtu wa Serikali??
 
Icu watu kibao wanaenda na wanatoka salama

Unajua ukifanyiwa surgery yoyote kubwa lazima uwekwe icu
Kasema 10% wanatoka. Sasa wewe kwa vile hujui wanaoingia ni wangapi na wanaotoka ni wangapi huwezi jua kama hao ndiyo 10% au la!
 
Kwani amewekewa gesi ili apumulie kuwa Icu c kifo na pia wote sisi ni mafumbini tutarejea tu ili neno litimie.
 
Huko ICU kuna watu wengi na kuna mtu mwingine mkubwa kuliko prof. Jay.

Huyo likitokea kuna mamlaka moja tu mwenye kuweza kutangaza na huzuni na simanzi itakuwa kubwa zaidi. Yote tuwaombee heri wapone haraka na kurudi kwemye hali njema
 
Angekuwa amewekeza ubaya kwenye Jamii dua zetu Mola angezipokea lakini wa mitulinga alifundwa na wazazi hana mawaa na mtu usisikie uchuro ongeza dua atatoka salama kabisa.
ICU siyo mwisho. The guy is back. Naungana na watz kumuombea pona njema. Ameen
 
ICU za muhimbili hazina vipimo vya ubongo hii ni hatari sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom