Mlioko Muhimbili Hospital tafadhali tupeni updates za mara kwa mara kwani tayari huku Mitaani Uchuro kwa Mgonjwa wa Serikali imeshaanza

Mlioko Muhimbili Hospital tafadhali tupeni updates za mara kwa mara kwani tayari huku Mitaani Uchuro kwa Mgonjwa wa Serikali imeshaanza

Status
Not open for further replies.
Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza kwa Watanzania wengi japo wengine Walilia yale Machozi ya Kitunguu Swaumu au ya Samaki ndani ya Maji.

Na nyie Ndugu wa Mgonjwa wa Serikali hebu acheni kila mara Kuficha au Kufumba kuhusu hali ya Mgonjwa kwani mnatuchanganya zaidi mpaka wengine Machozi yanaanza kututoka.

Kabla sijaingia Ibadani Kusali Usiku huu nataka nimtafute Daktari Mmoja aniambie ni kwanini Siku moja aliwahi kuniambia ukitoka Salama na Hai ICU basi Katambike Kwenu au Chinja Mbuzi ule Kitabibu ukiwa huko una 90% za Kutoendelea Kufokafoka na 10% za kuendelea kuwaona The Big Five Animals wa Mbuga nzuri niipendayo ya Mikumi Mkoani Morogoro.

Ibada mbalimbali za Kumuombea Mgonjwa wa Serikali ziendelee tafadhali hata kwa wale walioko Belgium muda huu wakinywa Wines na Whiskeys huku wakiitafakari Tanzania Bara na Tanzania Visiwani yao.

Kama Watanzania tumeweza Kuiombea Corona na ikatuogopa na kama Watanzania tuliweza Kuiombea Mvua na zikayesha nina uhakika kwa pamoja tukimuombea Mgonjwa wa Serikali ili asiyaanze Maisha yake mapya Frijini Wadi ( Wodi ) namba 26 Muhimbili National Hospital inawezekana na atapona tu.

Kuna Mtu ( Watu wa Uchuro ) wanadai kuwa Hesabu ya Israeli Katili na Mchomoa Betri maarufu huenda ikawa imeshakamilika na kinachofanyika sasa ni Kutuandaa tu taratibu Kisaikolojia ili baadae ikiwa ni kweli tusije Kushtuka au wengine hata Kuzimia na ikiwezekana hata Kufuatana nae alipopangiwa kuwepo Kimya Milele na Mwenyezi Mungu.
Madaktari wanatibu halina ubishi, Ila mponyaji ni Mungu ndio maana ICU hukohuko wengine wanatoka salama
 
Hii mada khe
Jamani huyu naye ni mtu haijalishi anaumwa nini
Tuwe waungwana
Tusimuombee mwenzetu kifo bali tumuombee uzima
Hakuna aijuaye kesho
Ugua pole Haule
 
Hii mada khe
Jamani huyu naye ni mtu haijalishi anaumwa nini
Tuwe waungwana
Tusimuombee mwenzetu kifo bali tumuombee uzima
Hakuna aijuaye kesho
Ugua pole Haule
Genta anajidanganya sana. Anajiona yeye ataishi milele. Walimsema Lowasa hivyo hivyo ila sasa wao ndio wamelala mauti na mzee Lowasa anadunda hadi sasa. Twende taratibu kwenye ardhi hii kwani hatuijui kesho yetu.
 
Hii ni nature haiwezi kubadilika kamwe . "kufa kufaana " ndio roho zetu zilivyo wanadamu asilimia kubwa
 
umeandika umezunguka Sana pale muhimbili kunawagonjwa wawili walioko ICU na mmoja kipenzi chawatu Sana tz mmoja ni alikua mbunge kilombero ulichoniuzi umesema mserikalia Tena Mara profesa Jay ,funguka ukweli bana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom