Yawezekana Wewe ndiyo ukawa very Intelligent kuliko Wapuuzi wote waliokurupuka wakidhani namsema huyo Mtu wao ambaye hata nami pia kama Binadamu na ukizingatia ni mwana Simba SC Mwenzangu ninamuombea pia aweze Kupona na Kurejea katika hali yake ya Kawaida.