Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Nakuunga mkono.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rushwa iliyo lelewa na kukuzwa na serikaliRushwa imeharibu utumishi wa umma
SahihiRushwa imeharibu utumishi wa umma
Aiseee ni jehanamuKufanya kazi halmashauri ni laana
Imagine mtumishi anaitwa afisa analipwa 580k
🤣🤣 Namjua mtu cheochake Afisa elimu daraja la ll akikatwa bodi yamikopo anabakiwa na laktatu na anaishi na familia na nduguKufanya kazi halmashauri ni laana
Imagine mtumishi anaitwa afisa analipwa 580k
NAKAZIAAiseee ni jehanamu
Kila kitu kimegeuzwa kuwa fursaRushwa imeharibu utumishi wa umma
Hapo ni sawa na 10k per dayAiseee yaani afisa anapokea laki 3.
Mmhhh
Anakuwa ameshaagiza vyombo na supu kabisa ili ukienda kupata huduma ya kusainiwa form au kugonga mhuri unamlipia wakati huna mbele wala nyumaKuna mtumishi mmoja wa umma ana glass yake bar...
Asubuhi ofisini anaacha koti juu ya kiti....halafu huyoo bar...lete supu lete mchupa...kama unahitaji huduma unamfuata bar....mnamalizana....mpaka muhuri anakuwa nao bar..maaaamae🤯
Labda kijijini lakini mjini hakuna rangi hutoona. Halafu kuna vile umefika halmashauri una shida fulani wanaanza kukuzungusha mara nenda pale ukienda pale unaambiwa nenda kule ukienda kule unaambiwa rudi nyuma kidogo ingia kushoto ukiingia kushoto anakuambia nenda mbele kidogo ingia kulia mlango namba 2 ukiingia namba 2 unakutana na kidada kimechoka halafu sura ngumu halafu anachati. Ukimsalimia anaitika bila kuinua kichwa huku bado yuko kwenye simu. Unamueleza shida yako anakwambia muhusika hayupo na haijulikani atakuwepo lini na wewe umetoka mbali zaidi ya Km 100 na umetumia nauli kibao. Pumbav zenu!🤣🤣 Namjua mtu cheochake Afisa elimu daraja la ll akikatwa bodi yamikopo anabakiwa na laktatu na anaishi na familia na ndugu
Vigogo ndiyo wameharibu snKila kitu kimegeuzwa kuwa fursa
Naunga mkono hojaHabari wana JF.
Kuna baadhi ya watumishi wa serikali, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa huwa wanajiona wao ni watu maalum sana.
Kama hujawahi kukutana na watu wa aina hiyo, basi nakuhakikishia iko siku utakutana nao. Wengi wao husahau ule usemi wa "cheo ni dhamana". Hao ndio wale ambao shida yako hata kama ilikuwa ni ya kutatuliwa kwa dakika moja (mfano kusaini document hakuhitaji muda mrefu), lakini utashangaa unaambiwa nenda utarudi kesho au mwezi ujao n.k.
Lengo la kuandika huu uzi ni kuwaasa watumishi wote wa serikalini kuanzia watendaji wa vijiji hadi kwa Rais, watambue kwamba wako pale kwa ajili ya kuwahudumia watu na siyo kuwanyanyasa au kuhudumia watu wa aina fulani kwa upendeleo. Na wanatakiwa wafanye hivyo huku wakijua kwamba wako wengi wenye uwezo kuliko wao, lakini hawakupata tu bahati ya kuwa pale walipo.
Naomba kuwasilisha.
Unaponda halmashaur ilihal huo mshahar ni level scale ya watumish wote.labd uwe maa taasis huko. Na 580 mbona kubwa si umekopa sasa hutak kukatwa?Kufanya kazi halmashauri ni laana
Imagine mtumishi anaitwa afisa analipwa 580k