Mlioko Shuleni na Vyuoni ,ChatGTP imeleta fursa na Changamoto gani katika Taaluma?

Mlioko Shuleni na Vyuoni ,ChatGTP imeleta fursa na Changamoto gani katika Taaluma?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,951
Bila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work !
Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana wanafanya takehome essay kweli? Je Hali hii inaleta fursa na Changamoto gani katika kazi za Kitaaluma?
Jebu mtusaidie wenzenu tulikiwa tunakesha Special Reserve pale Mlimani? Enzi zile Halima Mdee ndio anatuhudumia.
 
Kwa sasa walimu wamekuwa wakitoa majaribio /mitihani kwa ajili ya tathimini endelevu ya mwanafunzi (continued student assessment) badala ya zile assignment za kufanya kwa ziku kadhaa kisha zinatumwa kwa mwalimu

Mwl kuchukua madesa kwenye mtandao na kujifanya ni yake imepunguaaa .... more paraphasing
 
Fursa iliyoletwa ni kwamba kama hujamuelewa lecture darasani unamuuliza blaza chat GPT,yeye anakupa majibu yote tena kwa lugha inayoeleweka kabisa na mifano rahisi na mingi sana

Kwa kweli imesaidia sana kuongeza maarifa.Hiyo imekuwa fursa kwa upande wangu
 
Inapiga kazi vizur japo muda mwengine inatoa majib ya uongo
 
Hili Dude usiliamini, linajua kupangilia vitu, ila halina majibu ya uhakika, linabahatisha, ukikurupuka ku- copy kila kitu, utacheck picha.
Ma lecturers wenyewe vilaza, ukivuta SP toka huko unapata A ya uhakika.
 
kwa jamii ambayo google aijawa mastered ,kuleta gpt ni kuua kabisa uwezo wa kufikiri .
 
Bila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work !
Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana wanafanya takehome essay kweli? Je Hali hii inaleta fursa na Changamoto gani katika kazi za Kitaaluma?
Jebu mtusaidie wenzenu tulikiwa tunakesha Special Reserve pale Mlimani? Enzi zile Halima Mdee ndio anatuhudumia.
Inatumika vibaya mademu wanakojozwa balaa
 
Back
Top Bottom