Dadavua Jane!Imesaidia kuongeza wajinga mjini
Ma lecturers wenyewe vilaza, ukivuta SP toka huko unapata A ya uhakika.Hili Dude usiliamini, linajua kupangilia vitu, ila halina majibu ya uhakika, linabahatisha, ukikurupuka ku- copy kila kitu, utacheck picha.
Inatumika vibaya mademu wanakojozwa balaaBila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work !
Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana wanafanya takehome essay kweli? Je Hali hii inaleta fursa na Changamoto gani katika kazi za Kitaaluma?
Jebu mtusaidie wenzenu tulikiwa tunakesha Special Reserve pale Mlimani? Enzi zile Halima Mdee ndio anatuhudumia.
Aisee!🙂↔️Inatumika vibaya mademu wanakojozwa balaa
Eeeh!! Fafanua pleaseInatumika vibaya mademu wanakojozwa balaa