Mliokulia kijijini poleni sana, mnakula vyakula duni sana

Kuna mkoa siutaji niliendavkikazi huko kwenye kata fulani nikaagiza wali nyama nilishindwa kula,nyama imeungwa kwa mafuta mengi sana,shombo tupu,na ni migahawa yote,niliishia kula wali maharage wiki nzima
 
Tufata Hela uache kukimbilia kwa ndugu
 
😂😂😂😂
 
Huwa wanaishi maisha marefu yenye nguvu kweli nafikiri sababu ya food style, pia huwezi kuta wananenepeana, unakuta kizee cha kipare kiko 75 ila kina nguvu kweli na shamba kinaenda.

Hivi vyakula vinavyofurahisha kinywa nadhani si rafiki kwa mwili maana vijana wa mjini kuna vitambi fulani huotaga mtu anaonekana mzembe kweli. Waangalie kwenye majukwaa ya mipira utawaona.
 
Hayo ndo maisha mimi nayapenda sana aiseeeee huwa nikirudi nyumbani huwa napata shida sana kurudi mjini.

Wanakula vitu raw, tango nyanya vitunguu sijui nn unachukua shambani unakuja kula. Tuambie ww mjini umekulia nn
Hawa wazee wa chai na andazi tatu ndo kutwa kulia nguvu za kiume sisi tulioa kulia lishe za kibabe tunadunda tu...
 
Ni kweli kabisa na movement zao ni noma bibi izo alikuwa kaenda age sana ila anatembea umbali mrefu kwenda shamba daily hapo mkomazi mpaka Kuna sehemu inaitwa makayo na ana shamba pia sehemu inaitwa bendera ni mbali na hapo ila anaenda kwa mguu na kurudi😂😂
 
Reactions: Tsh
Wakishua bhana
 
Kuna nyumba usukumani huko tulikaribishwa ndani kula chakula. Ile kuingia ndani nyumba nzima inanuka maziwa mgando. Maziwa ni mazuri kama unakunywa wewe na sio kusikia harufu yake kwenye vyombo.
Hapo bado chakula hakieleweki...Nilishindikiza walaji
 
Kabisa wana nguvu mno. Nakumbuka kuku alichinjwa akapikwa bila mafuta unaambiwa mwenyewe ana mafuta yake yanatosha.

Mjini Sasa na makange sijui vuruga kuku vitunguu.
 
Ni kweli vijiji vingi vya Afrika vimejaa wale maadui watatu waliotajwa na Mwalimu Nyerere, ujinga, maradhi na umaskini. Wananchi wengi wa vijijini wanakabiliwa na umaskini wa kutisha. Mvua ikichelewa tu kidogo ni balaa. Kuna kijiji nilienda eti wezi huwa wanaingia majumbani na kuiba unga wa ugali!! Nikastaajabu sana. Maradhi pia huwaandama kwa sababu ya ujinga na umaskini. Vijijini bado watu wananawa kwenye chombo kimoja maji yasiyo ya kutiririka. Hata vijiji ambavyo havina shida ya vyakula bado mapishi yao ni ya hovyo. Kwa mfano vijiji vya pembezoni mwa Ziwa Tanganyika vinapata samaki wa kutosha na dagaa ila upikaji wao ni ushuzi mtupu. Ukitoa vijiji vya uchagani huko kwingine hali ni mbaya sana.
 
Nilienda Machame sehemu inayoitwa Makoa darajani njia panda ya kwenda Kyalia na Kimbushi hapo wanafyatua matofali ya jamaa aitwaye Willy hapo hapo kuna mgahawa nilikula pilau tamu kinoma nikastaajabu sana ni zaidi ya mjini, kuna baadhi ya vijiji ukifika vyakula ni zaidi mjini.
 
Watu bana hiko chakula ndicho majority of us kimetukuza. Hapo maisha magumu ni yapi? Hiko chakula hakina nutrients au? Aliekula dagaa wa chukuchuku amekula mara 1000 better kwa yule alokula baga na piza..
Hayo maisha si magum ila wewe ndio umeleta ugum kwenye utambuzi na fasiri
 
Uko Kijiji Gani kak hao masikini tu na wavivu kulima sio vijiji vya kwetu manda
Kumbe unatokea kule, hv kwanini mnatuma wale mamba kuuwa watu aisee. Na lile ziwa lenu mmepewa la kukoga. Kubaya aisee nilienda wakati nipo Ludewa pale.
 
Ukafanya conclusion kuwa vijiji vyote vipo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…