Vijiji gani mwaongelea?Moja ya watu wanao kula vitu natural thing ni wanakijiji
Mim nimekulia kijijin ova 30 year sijawai kula mavyakula vya kwenye friji kila kitu Ni fresh ,maziwa, nyama,unga ,matunda,kila kitu fresh rah sana
Tunakaa pamepikwa wali eti mboga ni maziwa ya mgando yaani wavivu kupikia hata mchuzi. Siku moja walipika mchzi wa kambare yaani wamechemsha tu kama supu then wanaweka juu ya wali, ukiangalia kama wali umemwagiwa maji vile.😂😂😂😂Nilikaa upareni aisee sijawai kuona vyakula vya ajabu kama huko kwanza kande hazina sukari na ni magumu yale mahindi ambayo yamekomaa wala hawaja koboa, unatafuna kama karanga Yani Yale maji yaliyopikiwa izo kande bado nice meupe.
Tunakaa pamepikwa wali eti mboga ni maziwa ya mgando yaani wavivu kupikia hata mchuzi. Siku moja walipika mchzi wa kambare yaani wamechemsha tu kama supu then wanaweka juu ya wali, ukiangalia kama wali umemwagiwa maji vile.😂😂😂😂
Asubuhi safi maandazi, uzuri nilienda na sister kama wiki mbili akaanza kupika yeye Yale mambo ya kipwani aisee walikuwa wanaenjoy kinoma, alipika vibibi basi bibi akavigawa kwa watu kibao waonje kesho nikawaona wanakuja pale wanataka sister awafundishe kupika na kule Nazi ilikuwa ni bei ghali sana ilikuwa ni mkomazi.
Nchi yetu bado ni mapori tu,Tembea uone
Mwanza ukivuka Igoma kuna nini?
Arusha km 10 toka mjini kuna nini?
Mbeya ndo usiseme kabisa
Dodoma iondoe kabisa
Kabisa mkuu. Ni mashamba, mapori, misitu, mabwawa,mifugo na wanakijijiNi Dsm pekee ambayo unaweza enda km 30 kila upande na bado pamechangamka
Majiji mengine yote ukivuka km 10 tu kila upande hakuna kitu.
Mwanza ukivuka Igoma tu hakuna kitu
Hila kweli[emoji16]. Halina ubishi,Nimekanyaga mikoa yote ya nchi hii.
Ukiona chakula kitamu Sana huko bara basi fuatilia Routes zote za mpishi WA chakula hicho lazima awe amewahi kufika Pwani au amewahi kuishi na watu walioishi Pwani
We mbinga sio kijijini labda huko kindimba huko[emoji16]Mwezi wa kumi na mbili nitarudi kijijini kwetu Mbinga, nikale Ugali wa mhogo na dagaa safi kutoka ziwa Nyasa.
Vijijini njaa ni kali sana mkuu. Kilimo cha jembe la mkono halitoshelezi mahitaji ya familia. Watu wa kijijini wana kipindi kifupi ndani ya mwaka kufurahi pale wanapovuna mazao yao. Wakati wa masika huwa hali ni mbaya mno. Vijiji vingi vina udumavu wa miili kwa watoto.Wataalamu wanasema chakula bora ndio afya yenyewe.
Sasa iweje nyie wa mjini ndio mnaongoza kwa kuumuka mwili pasipo na mpangilio,maradhi hatari na ya ajabu kwa % kubwa yapo kwa wale waishio mujini.
Hao unaosema wanakula vibaya hawaugui hovyo na kina mama wengi wa huko wanajifungua fresh hata wasipofika hospital ila huko mujini ni mwendo wa visu tuu.
Tafakari kwanza
Ni kweli ila wapo wameelimika wanatunza na kuweka akibaVijijini njaa ni kali sana mkuu. Kilimo cha jembe la mkono halitoshelezi mahitaji ya familia. Watu wa kijijini wana kipindi kifupi ndani ya mwaka kufurahi pale wanapovuna mazao yao. Wakati wa masika huwa hali ni mbaya mno. Vijiji vingi vina udumavu wa miili kwa watoto.
mm nafurahi sana nkitoka likizo kjjn mwili wangu huwaga upo vzur sana hasa Kaz zetu zile wanaume nawafanyaga kwa ufanisi mkubwa sana [emoji2][emoji1787][emoji3]Ni kudra za mwenyezi Mungu tu kuwa bado mnaishi. Niko kijiji fulani sitataja mkoa. Niko na wenyeji wangu.
Asubuhi uji hauna sukari, mchana tumekula michembe. Usiku udaga na dagaa kama saba hivi kwenye bakuli.
Maisha haya magumu sana kijijini. Tuwaombee
Tena afadhali Yao hao asubuhi wanakunywa uji,Mimi kukua kwangu habari ya kunywa uji au chai asubuhi labda uwe unaumwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Haya maisha acheni jamanii lakini Mungu ni mwema Sana bado tunaendelea kuishi hadi Leo tukiwa na afya njema.Ni kudra za mwenyezi Mungu tu kuwa bado mnaishi. Niko kijiji fulani sitataja mkoa. Niko na wenyeji wangu.
Asubuhi uji hauna sukari, mchana tumekula michembe. Usiku udaga na dagaa kama saba hivi kwenye bakuli.
Maisha haya magumu sana kijijini. Tuwaombee