- Thread starter
- #81
Hivi mpwapwa na kule kwa ndugai wanajua hata kazi ya tangoAlaa, kumbe ni issue ya ukame na siyo kawaida tu ya kila siku?!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mpwapwa na kule kwa ndugai wanajua hata kazi ya tangoAlaa, kumbe ni issue ya ukame na siyo kawaida tu ya kila siku?!!!!!!!
Mijini wanategemea chakula kitoke vijijini wanunue.
Katika vijiji vyenye njaa ni kweli ulichosema. Ila vijiji vyenye neema ya mvua si kweli.
Kupika esp mboga kunaharibu nutrients. Kuchemsha ndo sahihi.Hata wakiwa navyo kupika ni shida
Na vijijini wanategemea pesa kutoka mjini kununua vyakula vyao. Pia uzuri wa mjini kila aina ya vyakula vinakuwepo kwa bei nzuri ila kuna vijiji nyama, karanga, samaki ni anasa na vinapatikana kwa anasa.
Hata vijiji vyenye "neema" vipo vingi sana ambavyo utapiamlo umekithiri hasa sehemu za Iringa na Mbeya.
Mjini ni sehemu ambayo watu hawategwmei kilimo katika kujipatia kipato chaoHivi tukisema mjini tunazungumzia wapi? Maana ukiacha dar es salaam Maeneo mengine ni mji mkubwa sehemu ndogo kisha vijiji vya kutosha vinavyojishughulisha na kilimo,uvuvi na ufugaji.
Sasa kama upo sahihi basi tuseme Tz kuna utapiamlo nchi nzima kasoro dar.
Unadhani watu wa kijijini wanapika michemsho sababu ya uelewa wao?hawajui kupika,jaribu kuwapikia kimjini mjini kwa material yao hayohayo utaona wanajirambaKupika esp mboga kunaharibu nutrients. Kuchemsha ndo sahihi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. InategemeaSoma hapa [emoji117][emoji117]Kwa Tanzania; Kama Mwanamke hajawahi fika Ukanda wa Pwani ni hakika Hajui Kupika chakula kitamu
Halafu wanakwambia Tanzania uchumi wa kati ,pumbafu ,nchi ambayo wananchi mlo tu ni shida ,uchumi wa nioko .Ni kudra za mwenyezi Mungu tu kuwa bado mnaishi. Niko kijiji fulani sitataja mkoa. Niko na wenyeji wangu.
Asubuhi uji hauna sukari, mchana tumekula michembe. Usiku udaga na dagaa kama saba hivi kwenye bakuli.
Maisha haya magumu sana kijijini. Tuwaombee
Hivi tukisema mjini tunazungumzia wapi? Maana ukiacha dar es salaam Maeneo mengine ni mji mkubwa sehemu ndogo kisha vijiji vya kutosha vinavyojishughulisha na kilimo,uvuvi na ufugaji.
Sasa kama upo sahihi basi tuseme Tz kuna utapiamlo nchi nzima kasoro dar.
Uko Kijiji gani kak hao masikini tu na wavivu kulima sio vijiji vya kwetu manda
Basi ni sehemu ndogo sana ya TanganyikaMjini ni sehemu ambayo watu hawategwmei kilimo katika kujipatia kipato chao
HahahaUnadhani watu wa kijijini wanapika michemsho sababu ya uelewa wao?hawajui kupika,jaribu kuwapikia kimjini mjini kwa material yao hayohayo utaona wanajiramba
Moja ya watu wanao kula vitu natural thing ni wanakijiji
Mim nimekulia kijijin ova 30 year sijawai kula mavyakula vya kwenye friji kila kitu Ni fresh ,maziwa, nyama,unga ,matunda,kila kitu fresh rah sana
Niliendaga kijijini nilipofikia yaani wanafuga kuku 300+,mayai ng'ombe,mbuzi,Nilishaonaga hiyo hali vijiji vingi nilivyowahi kufika lakini kilichonishangaza zaidi ni kwamba unakuta familia inakula ivo lakini baba ana ng'ombe zaidi ya 30 na mbuzi zaidi ya 50.
Unakuta ana uwezo wa kuuza ng'ombe wawili tu na kufungua biashara ambayo itaingiza kipato cha kuwahakikishia chakula kizuri kwa familia lakini kwao kuwaambia habari za kuuza ng"ombe hawakuelewi kabisa. Wanakwambia hawa ndo wanalinda familia. Umasikini upo akilini!!!!!!
Nilishuhudia mzee mmoja ameumwa mpaka akafariki lakini aligoma kabisa kuuza ngombe ili ipatikane hela akafanyiwe matibabu hospitali.
Pwani ya wapi mbona Zanzibar hawajui kupika mboga.Nilienda usukumani. Picha linaanza wamechinja mbuzi hawaweki vitunguu swaumu kukata shimbi wala ndimi nkawaambia naombeni nipike mchuzi walibloo wenyewe wakashangaa eti htujui km kitunguu swaumu kinakata shombo, Wana karanga ila kande hawaweki karanga nikawawekea siku hyoo weee walikula balaa, kupika mi ndo nilikabidhiwa jiko,asubuhi chapati za mafutazsiku moja nkapika tambi kulikua na mgonjwa bwana wee waliinjoi mgonjwa alikula mpk akatamani tena.
Inshort mapishi Yako pwani bwanaaa tunajua hasaaa,nilikua napika wali Nazi plus ndondo wanakula hawabakishi hapo mi kwetu ndo sijui kupika sasa, nikawa nasema kimoyo wangekua wanakula vya wadogo zangu Hawa [emoji1][emoji1][emoji1]wangepagawa ila mlenda, mtindi na ugali vilinishinda aseehh.
Toka lini Nyama ikawa na shombo ?Kuna mkoa siutaji niliendavkikazi huko kwenye kata fulani nikaagiza wali nyama nilishindwa kula,nyama imeungwa kwa mafuta mengi sana,shombo tupu,na ni migahawa yote,niliishia kula wali maharage wiki nzima