Mliokutana mjini nendeni ukweni mkatambulishane

Mliokutana mjini nendeni ukweni mkatambulishane

Utalilia jamiiforums mkuu
Hapa akilia atajililia mwenyewe. JF Kuna watu Wana comment za kibabe hata Kam unatatizo gn.Uzuri hatakosa watakaomhurumia na kulia naye.
 
Same scenario happened to me...I decided to breakup.
Wengi watashauri akomae kulea familia,but,believe me..jamaa anapitia wakati mgumu sana.
Jamaa anajua nn chakufanya.
Wakati mgumu gani wakati ameshazaa nae watoto wawili na kama mtu hakumcheat unatetemeka bure mbona wanaume na sisi tunaficha watoto
 
Back
Top Bottom