Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi akubali matokeoNi vizuri kujua taratibu za ukweni zikoje kabla hujaoa! Huko babati mbona bi kawaida Binti kabla hajaolewa huzaa kwanza na huyo mtoto anakuwa Mali ya familia yake!! Jamaa kama anampenda huyo single mom basi aendelee nae maana hakuna namna ! Mwanamke kakosea kutokua wazi ila pia mume nae kayumba kutokufanya utafiti na kumjua vizuri mpenzi wake
Nimejaribu kumjibu mdau kwamba nivigumu Sana kwa watu kuishi miaka9 Kama wapenzi afu swali muhimu Kama hilo la kuwa namtoto lisiwepo.Nahili swali lazima lijitokeze kwa pande zote mbili,yaani Me na Ke. Hapa mdada aliamua kumficha jamaa kwa makusudi na sijui nikwanini.Haya mahusiano ya siku hizi ni shida. Mnapoanza mahusiano kabla hata ya kuanza kula mbususu lazima muulizane maswali muhimu kuhusu background zenu. Je mna watoto, ulishwahi kuoa au kuolewa, asili yenu etc. Hii itapunguza mambo mengi huko mbeleni kama mnataka kwenda next stage. Mmeishi 9 yrs halafu usimuambie mwenzako una mtoto? Na huyo bwana naye hakuwahi kuuliza au? Au mwanamke alimdanganya?
Nimemsikitikia sana huyu mwamba. Lakini ndio basi tena, yameshatokea, hakuna namna. Asamehe, atulie atunze familia yakeNawasalimu nyote
Rafiki yangu yupo kikazi Dodoma tangu mwaka2013.
Kwamba huyo binti alimficha mwenzake miaka yote hiyo kuwa ameacha mtoto nyumbani, hilo pekee ni uthibitisho kuwa huyo binti alijisikia guilty ndani ya nafsi yake kwamba kuwa single mother ni dhambi. Otherwise lingekuwa jambo zuri mbona ingekuwa sehemu ya utambulisho tangu awaliSitetei naongea ukweli.Sio kila singles mother ni mbaya,na kuwa single mother sio dhambi.Na Kwa Hilo tukio sioni ubaya aloufanya huyo dada.Mtoa mada alipaswa kusema wanaume ulizeni historical background ya wenzi wenu.Labda bibie hakuulizwa chochote angewezaje kukurupuka eti nna mtoto ili iweje?
Uzee wala siyo issue hapo. Mwamba amewaza hivi, zile likizo alizokuwa huyu mama anaenda Babati peke yake alikuwa anafanya nini na huyo baba mtoto wake. Pili amejiona bwege kuwa ni yeye pekee aliyedanganywa miaka yote hiyo, yaani mke na wakwe wameshirikiana kumfanyizia.Hata Kama ana mtoto mkubwa kwa vile hakumuhusisha tangu mwanzo naye atulie walee watoto wa, hizo hasira ni za hovyo maana tayari wana watoto au baada ya kumuona binti ndio kahisi mzazi mwenzie ni mzee? Waendelee kupendana na kupanga mipango yao ya baadae vizuri tu sioni tatizo hapo ila akae akijua mwenza wake ni msiri sana anaweza kufanya chochote peke yake bila kuhumusisha hasa kwa maendeleo ya binti yake mkubwa
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Kweli kbs mkuu.Japo inaonekan mamamkwe alikuwa hajui kuwa jamaa alifichwa ndoman akamtambulisha binti kuwa huyo nibaba yako nahao wengin niwadogo zakoUzee wala siyo issue hapo. Mwamba amewaza hivi, zile likizo alizokuwa huyu mama anaenda Babati peke yake alikuwa anafanya nini na huyo baba mtoto wake. Pili amejiona bwege kuwa ni yeye pekee aliyedanganywa miaka yote hiyo, yaani mke na wakwe wameshirikiana kumfanyizia. Imagine uko mahali kila mtu anajua mkeo alinyanduliwa na Mandonga na kuzalishwa, lakini wewe ndio umejua leo wakati mtoto ana miaka 13! Yaani utajiona bonge ya fala. Hicho ndicho kimemuudhi sana huyu mwamba.
Wanawake msiwategeshee watu mbunye na mimba, semeni ukweli tu. Kama wewe ni single mother, sema ukweli mtu ajitose mwenyewe akijua anaingia tretch iko deep kiaje. Ukimdanganya, siku akigundua atakuchukia sana.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kama wanaelewana na Mke ana adabu Mimi nashauri waendelee tuu.
Uongo unasababu nyingi moja wapo ni hiyo ya huyo demu
Wewe ndio umeongea ukweli.Anatafuta sababu ya kumuacha Hana jingineSasa umezaa nae watoto wawili unapanic nini mbona hata sisi wanaume tunaficha watoto
Taikon la Fasihi
Halafu usikute jamaa yupo humu JF ndio yule anayefungua uzi wa "Mimi na single maza (mother) mbali mbali hata nipewe bure simtaki, mara kaa mbali na.single mothers hawajitambui, mara kaanzwa.na Nani Mimi nile makombo nk." yanamtoka tu Kumbe anaye ndani anamlisha na kumvisha na kumzalisha juu 😀😀😀Uzee wala siyo issue hapo. Mwamba amewaza hivi, zile likizo alizokuwa huyu mama anaenda Babati peke yake alikuwa anafanya nini na huyo baba mtoto wake. Pili amejiona bwege kuwa ni yeye pekee aliyedanganywa miaka yote hiyo, yaani mke na wakwe wameshirikiana kumfanyizia. Imagine uko mahali kila mtu anajua mkeo alinyanduliwa na Mandonga na kuzalishwa, lakini wewe ndio umejua leo wakati mtoto ana miaka 13! Yaani utajiona bonge ya fala. Hicho ndicho kimemuudhi sana huyu mwamba.
Wanawake msiwategeshee watu mbunye na mimba, semeni ukweli tu. Kama wewe ni single mother, sema ukweli mtu ajitose mwenyewe akijua anaingia tretch iko deep kiaje. Ukimdanganya, siku akigundua atakuchukia sana.
Dah! Inauma sana. Hapo mtu ulishajiapiza viapo vyote kuwa kamwe hutaoa single mother halafu unakuja kubambikiwa! Huyo mke unaweza ukamchukia milele.Halafu usikute jamaa yupo humu JF ndio yule anayefungua uzi wa "Mimi na single maza (mother) mbali mbali hata nipewe bure simtaki, mara kaa mbali na.single mothers hawajitambui, mara kaanzwa.na Nani Mimi nile makombo nk." yanamtoka tu Kumbe anaye ndani anamlisha na kumvisha na kumzalisha juu 😀😀😀
Kama tungekua tunaonyeshwa maisha baada ya miaka 20 au 10 mbele yanakuaje nadhani huyo kaka angeridhia tuNawasalimu nyote
Rafiki yangu yupo kikazi Dodoma tangu mwaka2013.
Mwaka huo aliripoti kazi na dada mmoja mwenyeji wa Babati.Jamaa kwao ni Tanga. Hapa na pale baada ya miezi kadhaa
Hapo NI mwenyewe kamtafuta na kumdanganya ati hali halali bila yeye, leo anagundua ni single mother tena kipindi anatambulishwa alikuwa anaongeza uzi mwingine wa kumlaani single mother, lazima kesho alfajiri arudi alipotoka 😀😀😀Dah! Inauma sana. Hapo mtu ulishajiapiza viapo vyote kuwa kamwe hutaoa single mother halafu unakuja kubambikiwa! Huyo mke unaweza ukamchukia milele.