Mliokutana mjini nendeni ukweni mkatambulishane

Mliokutana mjini nendeni ukweni mkatambulishane

Sikufichi mwanamke akiwa na mtoto then umuoe inaboa labda jamaa ake awe kafariki yaani kijana utakufa kwa mawazo kwa kweli labda awe mchepuko lakini kuoa!!!

Jiulize jamaa wa kwanza mpaka kampa mimba na demu kaibeba mpaka kajifungua na tambua mwanamke anabeba mimba ya mwanaume anayempenda tu .....swali je huyo jamaa kwa Nina asimuoe ? Na kashamvua chupi mara kibao..
 
Yaani aue au ajiue kisa huyo mwanamke ana Mtoto alizaa miaka 13 iliyopita?? Mtoto ambae hajaambiwa ahudumie wala kuishi nae,

Jamaa yako ana yake sio bure.
 
Yaani aue au ajiue kisa huyo mwanamke ana Mtoto alizaa miaka 13 iliyopita?? Mtoto ambae hajaambiwa ahudumie wala kuishi nae,

Jamaa yako ana yake sio bure.
Huyo Mwanamke Kama kaweza ficha damu yake mwenyewe kwa muda wa miaka 13, Basi hashindwi hata kumficha Mumewe kwa michepuko yake kwa miaka hata 20!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo liko wapi sasa,kwani wamesema amchukue mtoto akamsomeshe au? Si wamwache hapo waendelee na maisha Yao....Yeye kumzalisha Binti was watu bila ndoa Wala kutambulika hakukosea au? [emoji34]
Usiri wa namna hiyo una implications nyingi sana, ukiangalia juu juu unaweza kuona poa tu, Ila inatoa tahadhari kubwa mno juu ya aina ya mtu unayeishi naye
 
Anachanganyikiwa kwa jambo dogo hivo?

Na siku akisikia mtoto mmoja kati ya wale siyo wake itakuwaje? Si atachizi?

Sasa ameondoka ukweni ndio kampa mkewe nafasi ya kujivinjari vizuri na ma ex wake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anachanganyikiwa kwa jambo dogo hivo?

Na siku akisikia mtoto mmoja kati ya wale siyo wake itakuwaje? Si atachizi?

Sasa ameondoka ukweni ndio kampa mkewe kujivinjari vizuri na ma ex wake[emoji23][emoji23][emoji23]
Asee utasababisha arudi tena ukweni [emoji23][emoji23]
 
Sikufichi mwanamke akiwa na mtoto then umuoe inaboa kithenge labda jamaa ake awe kafariki yaani kijana utakufa kwa mawazo kwa kweli labda awe mchepuko lakini kuoa!!!

Jiulize jamaa wa kwanza mpaka kampa mimba na demu kaibeba mpaka kajifungua na tambua mwanamke anabeba mimba ya mwanaume anayempenda tu .....swali je huyo jamaa kwa Nina asimuoe ? Na kashamvua chupi mara kibao..
Acha uongo na uchochezi.Wewe ndio katika watu wenye nia potofu na single mother
 
Kama hakukuta Bikra hapo, sioni tatizo la Mwanamke.
Kama hakuulizwa pia sioni tatizo la Mwanamke.
Kama Mwanaume hakuamua kufuata utaratibu akaamua aishi na mtoto wa mtu kiholela, sio tatizo Kwa mwanamke.

Mwanaume mzima unashindwaje kujua mwanamke aliyejifungua? Kama umeshindwa Kwa kumuangalia tuu haya hata wakati unafanya naye sex ukashindwa kujua?

Mwanaume ndio mwenye shida.
Asimuache!
 
Daah single moms wamelivalia njuga hili swala kwa utetezi wa kiwango cha ICC🙌🏾🙌🏾🙌🏾
 
Tetea tu wenzio
Sitetei naongea ukweli.Sio kila singles mother ni mbaya,na kuwa single mother sio dhambi.Na Kwa Hilo tukio sioni ubaya aloufanya huyo dada.Mtoa mada alipaswa kusema wanaume ulizeni historical background ya wenzi wenu.Labda bibie hakuulizwa chochote angewezaje kukurupuka eti nna mtoto ili iweje?
 
Kama hakukuta Bikra hapo, sioni tatizo la Mwanamke.
Kama hakuulizwa pia sioni tatizo la Mwanamke.
Kama Mwanaume hakuamua kufuata utaratibu akaamua aishi na mtoto wa mtu kiholela, sio tatizo Kwa mwanamke.

Mwanaume mzima unashindwaje kujua mwanamke aliyejifungua? Kama umeshindwa Kwa kumuangalia tuu haya hata wakati unafanya naye sex ukashindwa kujua?

Mwanaume ndio mwenye shida.
Asimuache!
Naomba mbinu za kumfahamu mwanamke aliye zaa hasa kwa miaka, utatazama vitu gani hata kwenye sex
 
Back
Top Bottom