Mliokuwa 'mkimdhihaki ' Rais Dr. Magufuli juu ya Ununuaji wa Ndege Kubwa pateni mfano huu Kuntu wa Kenya


Suala la ' Ututsi ' wangu na la Rais wangu Kagame linahusiana vipi na huu ' Uzi ' wangu?
 
Acheni kujifariji kwa kutumia mifano ya watu tunaolingananao na ambao nao nchi nzao ni masikini kama zetu.

Nimepanda Bombardier Ijumaa iliyopita kutoka Dom kuja Dar wala haijai (masiti kibao yako wazi).

Kwanza sisi teyari tuna madeni kibao hivyo ni hasara juu ya hasara.

Alafu kutuambia huyo mtu ni zawadi tuliopewa na Mungu, ni sawa na kututukana na ukome kabisa!!
 
Mimi nimemuuliza mleta mada;

Ndege zina umuhimu wake hasa unaposafiri kwenda nje ya nchi inakereka sana unapoilizwa nchi unajibu Tanzania; umekuja na airline gani unajibu Ethiopia; swala la kukera linafutwa "Don't you have your own carrier?"
'Lufthansa, for example, is often considered Germany’s flag carrier. The airline was state-owned until 1994 but government shares were sold off in 1997. The airline reported record full-year 2017 profits of $3.68 billion. In fact, Lufthansa currently owns and operates three other national flag carriers: Swiss International Air Lines, Brussels Air Lines, and Austrian Airlines'.

Kipi bora, kuwa na natioal carrier halafu nchi ipate hasara kila mwaka au hizo hela za kununulia ndege zielekezwe kwenye miradi itakayonufaisha wananchi wote.
 
Mkuu hiyo ndege inauwezo wa kubeba watu wangapi? watu 7000 tayari wana tiketi za kuwemo kwenye safari ya kwanza
 
Huko Chuo Kikuu ulikoenda Kusoma ulienda Kupata maarifa zaidi ili uje kuwa ' Great Thinker ' au Kujifunza ' Kujitawaza ' vizuri pale unapotoka Chooni / Msalani kutoa Haja Kubwa?
Naomba usome tena swali langu.
Hakuna mahali nimekudhihaki.
It's pure quest for expansive information.

Sasa wewe bwana usalama, kwanini unanitukana?
 
Naomba usome tena swali langu.
Hakuna mahali nimekudhihaki.
It's pure quest for expansive information.

Sasa wewe bwana usalama, kwanini unanitukana?

Naomba hilo la kuniita ' Bwana Usalama ' liwe mwanzo na mwisho kuniita kwani sihusiki nalo na Mimi siyo miongoni mwao kwa 100%. Naitwa GENTAMYCINE pekee. Nitashukuru kama ANGALIZO langu hilo utalielewa na kulizingatia pia. Asante.
 
Naomba hilo la kuniita ' Bwana Usalama ' liwe mwanzo na mwisho kuniita kwani sihusiki nalo na Mimi siyo miongoni mwao kwa 100%. Naitwa GENTAMYCINE pekee. Nitashukuru kama ANGALIZO langu hilo utalielewa na kulizingatia pia. Asante.
Na wewe usinitukane tena siku nyingine.
Leo nakuacha uende.
 
Mkuu hiyo ndege inauwezo wa kubeba watu wangapi? watu 7000 tayari wana tiketi za kuwemo kwenye safari ya kwanza

Nimekuambia kuwa tayari hadi hivi sasa Watu 7000 wameshakata Tiketi ili Kuipanda au Kufanya Safari hiyo na Jukumu la Abiria wangapi wapande linategemeana na uwezo wa Ndege na siyo lazima kwamba hao wote wasafiri hiyo hiyo tarehe bali kwa Shirika la Ndege la KQ tayari mpaka dakika hii limeshajihakikishia kupata ' Mapato ' fulani na pia ni dalili njema kwa Shirika kwa siku za baadae.

Huko Vyuo Vikuu mlienda Kusoma na Kuelemika kisawasawa au Kujifunza tu jinsi ya ' Kujitawaza ' vizuri mnapotoka Chooni Kunya?
 
Tatzo sio ndege bali ni sheria ya manunuzi, bunge lilihusishwa mkuu?
Sheria ingefuatwa ndo tungefaidika nini? sanasana hadi hivi leo tungekuwa tunaambiwa stori za "michakato inaendelea"....
Go JPM Gooo!
Maadam unachofanya kinaonekana na wananchi tunakiappreciate waachie hao wanaotaka sheria waendelee kuzisubiri.
 
Sometimes nafikiri unaazima akili. Hivi unajua Kenya wako mbali sana kwenye usafiri wa anga, Kenya wako partners na KLM, tiketi yako unakuja moja kwa moja online Kenya ndege Sao zinaenda nchi kubwa duniani. Unataka tumsifie Magufuli kwa kununua ndege cash na kuipeleka Mwanza, ndege ya kwenda USA inapekwa Mwanza. Kwasababu hakuwa na plan hakujua kuwa ndege yake haiwezi kuuza tiketi zake mwenyewe, alijua hana kibali ya kimaitaifa ya kuipeleka nje. Rais wako alikurupuka. Naomba kipindi cha hasara pia jitokeze ili tumsifie. USIJIFICHE
 
Napongeza manunuzi ya ndege lakini hii hoja ya kuwa zitaongeza namba ya watalii nchini ndio napata ukakasi.
hivii kumbe unaweza kupongeza huku unapata UKARAKASI etieee??
 
Namba hujaweka ila atakuwa anaona juhudi zako kwake.
 

Kichaa mwenzake hatuwezi kushindana na wewe maana you are incapacitated, watu hawahoji ununuzi wa ndege bali taratibu hazikufuatwa, yawezekana mnunuzi ali over value akapata hela za kujijengea migorofa huko rock city, hatujawahi kuwa na serikali ya mtu mmoja awe ndo muidhinishaji na mlipaji mkuu wa umma ambaye kicheo ni rais,
But time will tell,
 
We LOFA na FALA sana!!!
Unaongelea kununua meli wakati kuna wananchi wanalala na njaa.
Kama lojiki yako ya vipaumbele iko hivo, basi RAIS angeacha kila kitu abaki kutununulia unga na maharage maana hauwezi kufikiria meli na vivuko wakati kuna wananchi hawana chakula.
Nadhani Lowasa alipokuwa anasema kipaumbele chake cha kwanza hadi cha tatu ni ELIMU alikuwa ameshazijua akili zenu kuwa niza kizuzu na kilofa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…