Mliokuwa 'mkimdhihaki ' Rais Dr. Magufuli juu ya Ununuaji wa Ndege Kubwa pateni mfano huu Kuntu wa Kenya

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna muda huwa nawashangaa sana kama siyo mno Watanzania kwamba ni kwanini hawataki Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa ' Zawadi ' ya Rais ambaye ana ' maono ' makubwa sana ya Kimaendeleo kama aliyonayo Rais wetu Mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mwanamume wa Shoka.

Kwa wale Ndugu zangu ambao mmekuwa mkipiga Kelele juu ya Ununuaji wake wa Ndege ili kuweza kuzidisha Kasi ya Utalii nchini nadhani kwa hili alilolifanya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta sasa mtakuwa na la Kujifunza na ikibidi bado hamjachelewa kumuomba radhi Mheshimiwa Rais JPM au Kutengua ' Kauli ' zenu kwani kiukweli Rais JPM yupo sahihi kwa 100% na hizi Ndege anazozinunua zitaongeza mno Ukuaji wa Uchumi na hasa Sekta nzima ya Utalii kwa nchi ya Tanzania.

Ni kwamba Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amezindua rasmi Safari ya Ndege ya moja kwa moja kutoka Nairobi ( Kenya ) hadi New York ( Marekani / USA ) ambayo itaanza rasmi tarehe 29, October 2018 na mpaka hivi sasa tayari Watu 7000 wameshakata ' Tiketi ' zao ili kuwemo katika hiyo Safari ya Kwanza.

Kwa mujibu wa Rais Kenyatta amesema kwamba uzinduzi huu wa hii Safari ya moja kwa moja kati ya Kenya na Marekani ( USA ) kutaongeza maradufu ' mapato ' katika Sekta nzima ya Utalii ya nchini Kenya na pia Uchumi wa nchi yake utakuwa kwa haraka kwakuwa Kenya imekuwa na ' Vivutio ' vingi ambavyo Wamarekani wengi hupenda kuvitembelea mara kwa mara.

Bado nitasema na leo nasema tena bila ' Unafiki ' kwamba kama kuna ' Zawadi ' ambayo Mwenyezi Mungu ametupa Watanzania basi ni kwa kutupatia Rais mwenye maono ya kweli, yenye tija na uhakika wa Kimaendeleo kwa nchi hii Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mwanamume wa Shoka.

Hakuna Rais ninayempenda na kumkubali kama JPM na Mwenyezi Mungu ambariki sana azidi kutuletea Maendeleo Watanzania.

Source: Daily Monitor

Nawasilisha.
 
Hujatuambia Kenyatta kafanya nini kwenye bandiko lako
Wakenya wanapinga sana ununuzi wa ndege. Wanalalamika wanasema hiyo hela ingepelekwa kwenye vitu vingine na vile tz ni maskini.
hawajakubaliana na suala la tz kununua ndege.
 
Mtapata shida sana kumtetea huyo mtu wakati yeye mwenyewe anajiita kichaa
 
Ndege itasaidiaje ukuaji wa uchumi na sekta ya utalii?
Hebu forecast namba kidogo tukuelewe.
Tuonyeshe ndege inavyoingia kwenye equation ya GNP.
Tuonyeshe jinsi itakavyoongeza kipato katika sekta ya utalii.
 
Swala la ununuzi wa ndege linajadiliwa kisiasa tu. Uelekeo wa mijadala yetu unategemea mno misimamo ya kisiasa na si uhalisia.

Hata humu JF kila mjadala hoja kuwa positive au negative angalia IDs maarufu utaona zile hoja zao zinakinzana kutokana na misimamo yao kisiasa.
 
Wakenya wanapinga sana ununuzi wa ndege. Wanalalamika wanasema hiyo hela ingepelekwa kwenye vitu vingine na vile tz ni maskini.
hawajakubaliana na suala la tz kununua ndege.
Mimi nimemuuliza mleta mada;

Ndege zina umuhimu wake hasa unaposafiri kwenda nje ya nchi inakereka sana unapoilizwa nchi unajibu Tanzania; umekuja na airline gani unajibu Ethiopia; swala la kukera linafutwa "Don't you have your own carrier?"
 
Kuna muda huwa nawashangaa sana kama siyo mno Watanzania kwamba ni kwanini hawataki Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa ' Zawadi ' ya Rais ambaye ana ' maono ' makubwa sana ya Kimaendeleo kama aliyonayo Rais wetu Mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mwanamume wa Shoka.

Kwa wale Ndugu zangu ambao mmekuwa mkipiga Kelele juu ya Ununuaji wake wa Ndege ili kuweza kuzidisha Kasi ya Utalii nchini nadhani kwa hili alilolifanya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta sasa mtakuwa na la Kujifunza na ikibidi bado hamjachelewa kumuomba radhi Mheshimiwa Rais JPM au Kutengua ' Kauli ' zenu kwani kiukweli Rais JPM yupo sahihi kwa 100% na hizi Ndege anazozinunua zitaongeza mno Ukuaji wa Uchumi na hasa Sekta nzima ya Utalii kwa nchi ya Tanzania.

Ni kwamba Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amezindua rasmi Safari ya Ndege ya moja kwa moja kutoka Nairobi ( Kenya ) hadi New York ( Marekani / USA ) ambayo itaanza rasmi tarehe 29, October 2018 na mpaka hivi sasa tayari Watu 7000 wameshakata ' Tiketi ' zao ili kuwemo katika hiyo Safari ya Kwanza.

Kwa mujibu wa Rais Kenyatta amesema kwamba uzinduzi huu wa hii Safari ya moja kwa moja kati ya Kenya na Marekani ( USA ) kutaongeza maradufu ' mapato ' katika Sekta nzima ya Utalii ya nchini Kenya na pia Uchumi wa nchi yake utakuwa kwa haraka kwakuwa Kenya imekuwa na ' Vivutio ' vingi ambavyo Wamarekani wengi hupenda kuvitembelea mara kwa mara.

Bado nitasema na leo nasema tena bila ' Unafiki ' kwamba kama kuna ' Zawadi ' ambayo Mwenyezi Mungu ametupa Watanzania basi ni kwa kutupatia Rais mwenye maono ya kweli, yenye tija na uhakika wa Kimaendeleo kwa nchi hii Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mwanamume wa Shoka.

Hakuna Rais ninayempenda na kumkubali kama JPM na Mwenyezi Mungu ambariki sana azidi kutuletea Maendeleo Watanzania.

Source: Daily Monitor

Nawasilisha.
huwezi kumfananisha UHURU na SIZONJE na huwezi fanannisha KQ na ATC haitatokea hata miaka 1000
haya tuambie UZINGUZI wa safari ya mojakwamoja india unazinguliwa lini?? maana najiuliza ikifika hiyo safari yake india yakatokea yaliyotukuta hapa MWANZA wakati tunaisubiria DILIMULAINI mpaka tumebadilishiwa na kuletewa ndge ya PRECISION na flyJET kuokoa jahazi itakuwaje.. usishbikie tu kuwa na kandege kamoja hako ndo kabebe watu kwenda masafa yambali wakati hapa DAR to MZA ni majanga MTAUMBUKA ACHA WANAOJUA WAMZOMEE TU SIZONJE KWA UKURUPUKAJI WAKE. .
 
Kuna muda huwa nawashangaa sana kama siyo mno Watanzania kwamba ni kwanini hawataki Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa ' Zawadi ' ya Rais ambaye ana ' maono ' makubwa sana ya Kimaendeleo kama aliyonayo Rais wetu Mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mwanamume wa Shoka.

Kwa wale Ndugu zangu ambao mmekuwa mkipiga Kelele juu ya Ununuaji wake wa Ndege ili kuweza kuzidisha Kasi ya Utalii nchini nadhani kwa hili alilolifanya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta sasa mtakuwa na la Kujifunza na ikibidi bado hamjachelewa kumuomba radhi Mheshimiwa Rais JPM au Kutengua ' Kauli ' zenu kwani kiukweli Rais JPM yupo sahihi kwa 100% na hizi Ndege anazozinunua zitaongeza mno Ukuaji wa Uchumi na hasa Sekta nzima ya Utalii kwa nchi ya Tanzania.

Ni kwamba Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amezindua rasmi Safari ya Ndege ya moja kwa moja kutoka Nairobi ( Kenya ) hadi New York ( Marekani / USA ) ambayo itaanza rasmi tarehe 29, October 2018 na mpaka hivi sasa tayari Watu 7000 wameshakata ' Tiketi ' zao ili kuwemo katika hiyo Safari ya Kwanza.

Kwa mujibu wa Rais Kenyatta amesema kwamba uzinduzi huu wa hii Safari ya moja kwa moja kati ya Kenya na Marekani ( USA ) kutaongeza maradufu ' mapato ' katika Sekta nzima ya Utalii ya nchini Kenya na pia Uchumi wa nchi yake utakuwa kwa haraka kwakuwa Kenya imekuwa na ' Vivutio ' vingi ambavyo Wamarekani wengi hupenda kuvitembelea mara kwa mara.

Bado nitasema na leo nasema tena bila ' Unafiki ' kwamba kama kuna ' Zawadi ' ambayo Mwenyezi Mungu ametupa Watanzania basi ni kwa kutupatia Rais mwenye maono ya kweli, yenye tija na uhakika wa Kimaendeleo kwa nchi hii Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mwanamume wa Shoka.

Hakuna Rais ninayempenda na kumkubali kama JPM na Mwenyezi Mungu ambariki sana azidi kutuletea Maendeleo Watanzania.

Source: Daily Monitor

Nawasilisha.

Soma na hapa upate kuwa na uelewa kidogo.
https://www.forbes.com/sites/michae...-money-losing-national-airlines/#70c20941798c
 
Wewe huwa ni bwege siku zote,tangu lini mnyarwanda akawa na akili? Eti mnajivunia Kagame kajitu kapumbavu kanakoipeleka Rwanda kumwaga Damu.
Kenya ina uchumi mkubwa mara tatu ya Tanzania, hakuna aliyempinga Magufuli kununua ndege ,tunachopinga ni kwamba ndege haikuwa kipaumbele kwa sasa,Hujiulizi kwa nini ajali za maji Africa ,Tanzania inaongoza?MV Bukoba watu 1500 walikufa,Spicer island watu 500,MV Nyerere watu 210.
Halafu unanunua ndege inayopandwa na watu 30 tu wenye uwezo kiuchumi ,Kenya ina mizizi ya utalii Tanzania tupo nyuma mno,Rais asiyependa exposure na mataifa makubwa Tanzania itatoa wapi watalii? Kazi kuharibu pesa kwa kununua wapinzani na kurudia uchaguzi,akili za hovyo kabisa hizi.
Hizo pesa za ndege zingenunua meli maisha ya watanzania yangekuwa salama.
Wewe ni bwege uliyetukuka.
Mzee hakana unalolijua
 
Back
Top Bottom