Huyu ni mumewe anatumia ID feki kumchafua zaidi mkewe,ila kimsingi Flora hana mtetezi ila wenye akili tunajua kinachoendelea na Lengo la mumewe kumchafua Gwajima kwa makusudi bila ushahidi ni kuwatoa watu kwenye mstari wa kujadili ubakaji,my take katika mfumo dume siku zote mwanamke hana haki ila iko siku ukweli utajulikana,yeye Flora issue yake ya Ubakaji imepelekwa mahakamani kwanini mumewe naye asimpeleke Gwajima mahakamani haki ikatendeke huko?Anavyofanya siyo vizuri.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kweli yule mume ni kilaza sijui alimloga Flora masikini akaolewa na garasa kaa lile?!!!!