Mliokuwa mkimtetea Flora Mbasha mko wapi? mteteeni tena

Mliokuwa mkimtetea Flora Mbasha mko wapi? mteteeni tena

Huyu ni mumewe anatumia ID feki kumchafua zaidi mkewe,ila kimsingi Flora hana mtetezi ila wenye akili tunajua kinachoendelea na Lengo la mumewe kumchafua Gwajima kwa makusudi bila ushahidi ni kuwatoa watu kwenye mstari wa kujadili ubakaji,my take katika mfumo dume siku zote mwanamke hana haki ila iko siku ukweli utajulikana,yeye Flora issue yake ya Ubakaji imepelekwa mahakamani kwanini mumewe naye asimpeleke Gwajima mahakamani haki ikatendeke huko?Anavyofanya siyo vizuri.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kweli yule mume ni kilaza sijui alimloga Flora masikini akaolewa na garasa kaa lile?!!!!
 
Wewe peleka uzushi wako huko! Gwajima kakimbia nchi??
 
Nilikuwa mwana JF wa kwanza kutoa uzi wa tuhuma nzito kwa Flora Mbasha kwa jinsi alivyokuwa amejipanga kumfunga mumewe,ili awe free kuendelea kuliwa ndogo, uzi ule ulivutia wengi,na wengi wao wakiwa upande wangu,ni wachache walinipinga akiwemo sam love,masai dada,nadhani kila mmoja sasa hivi amesoma ktk vyombo vya habari juu ya u.shenzi alioufanya kahaba huyu wa kisukuma akijificha ktk koti la injili.

Gwajima amemdhalilisha sana MUNGU wetu kwa muda mrefu,na mwisho wa siku kaumbuka vibaya na kuikimbia nchi,Flora kamtesa sana mumewe, jamani vijana wenzangu kuweni makini sana na viumbe hawa waitwao "wanawake".

Hata kama kweli Mbasha alitembea na shemeji yake lakini aliyechangia tatizo hili ni mkewe, kinachokera zaidi ni kuwa wanajifanya ni watu wa Mungu kumbe ni devil's agents, hii inafanya hata watu waliokuwa wanataka kumrudia Mungu kushindwa kwa ujinga unaofanywa na watu washenzi kama Gwajima na Flora.

Sasa wote waliokuwa wakiwatetea mahayawani hawa waliotundikana hadi mimba sasa wote kimya,na wafunge midomo yao.

Na wewe ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe tumechoka na izo storii kwani nyingine zimeishaa
 
God is watching

Hiv case yake imeishia wapi c walisema itasomwa tar17 july?
 
Unaweza kuthibitisha flora amemtesa vipi mume wake??????? Ndoa ni wawili tu, umejuaje kamtesa mumewe kama wewe sio mumewe?

Wewe ni nani uhujumu gwajima kumdhalilisha Mungu?

Kwa hiyo kama ndoa ina matatizo its okey kwa mume wa kufanya mapenzi na shemeji yake? Ndivyo matatizo ya ndoa yanavyosuluhishwa?

Gwajima amemdhalilisha sana MUNGU wetu kwa muda mrefu,na mwisho wa siku kaumbuka vibaya na kuikimbia nchi,Flora kamtesa sana mumewe, jamani vijana wenzangu kuweni makini sana na viumbe hawa waitwao "wanawake".

Hata kama kweli Mbasha alitembea na shemeji yake lakini aliyechangia tatizo hili ni mkewe, kinachokera zaidi ni kuwa wanajifanya ni watu wa Mungu kumbe ni devil's agents, hii inafanya hata watu waliokuwa wanataka kumrudia Mungu kushindwa kwa ujinga unaofanywa na watu washenzi kama Gwajima na Flora.

Sasa wote waliokuwa wakiwatetea mahayawani hawa waliotundikana hadi mimba sasa wote kimya,na wafunge midomo yao.

Una uhakika flora ana mimba? Na umempima kuthibitisha mimba ni ya gwajima?
 
Mungu atusaidie wanawake, maana kila kukichwa ni wanawake hivi na vile
 
Mwe.....Mchungaji kazi yake ni kuchunga tu...akila mfugo tu ni noma.
 
Flora alichoka kupigwa free p na huyu marioo ..yaan free p unipge""bdo betrayal inihusuu khaaa hvyohvyo gwajma yaan una Roho nzuri sana kufariji wanawake wasiopewa thaman kwenye ndoa wafariji shemejiii tna ubarikiwee
 
Back
Top Bottom