GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa Barani Afrika Aishi Salum Manula.
Kwa taarifa za ndani kabisa zinasema kuwa huenda Simba SC ikavunja Rekodi Afrika nzima kwa Kumuuza huko Ulaya Kipa wake huyo Aishi Salum Manula kwa Gharama ambayo inaweza Kulipa Mishahara Wachezaji wote wote wa Yanga SC kwa mwaka mzima pamoja na Watendaji wake Waandamizi akina Injinia Hersi Said, Wasemaji Wao Wawili Bumbuli na Manara pamoja na Boss wao Mkuu Gharib Said Mohammed ( GSM )
Kuna Litimu ( nimeisahau ) Ligolikipa lao sijui lina Funza katika Midole yake yaani lenyewe hata Mpira mwepesi tu wa Kudaka kwa Mikono yake haliwezi Kazi yake ni Kukokota tu Mpira huku akikimbia akipanua Miguu yake utadhani ana Busha na linataka Kumdondoka.
Hakuna Kipa Bora Afrika kama Manula.