Mliokuwa mkisema Manula anafungwa Tegeta na Mbagala hii Kauli bado mnayo au mmeshaifuta kwa Kiwango chake Kikubwa na cha Kimataifa?

Mliokuwa mkisema Manula anafungwa Tegeta na Mbagala hii Kauli bado mnayo au mmeshaifuta kwa Kiwango chake Kikubwa na cha Kimataifa?

Ni bora aliyeitwa kwenye kikosi chenye wachezaji 3 tu kutoka bara la afrika vipi kwenye kikosi cha aina iyo uyo manula wako ata kuitwa angeitwa? Kipa anayeitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Mali unamlinganisha na vitu vya ajabu kabisa!!!
Nawaangalia magolikipa wa Yanga kwenye mashindano ya mapinduzi cup. Golikipa wa mgogo wazi, utopolo, yebo yebo walivyoshindwa kuzuia penalty hata moja kati ya 5 za awali hadi wakaruhusu mikwaju 9 kuingia langoni.
 
Nawaangalia magolikipa wa Yanga kwenye mashindano ya mapinduzi cup. Golikipa wa mgogo wazi, utopolo, yebo yebo walivyoshindwa kuzuia penalty hata moja kati ya 5 za awali hadi wakaruhusu mikwaju 9 kuingia langoni.
Mgogo wazi kitu gani? Unaongelea mapinduz cup nitajie makipa waliodaka iyo mapinduz labda diara wa nyumbani kwenu ndo alidaka
 
Unaongea nini wewe?
Wenzako wanazungumzia kwenye mashindano ya kimataifa wewe unaongelea ligi ya bara ambayo hata wakija Barcelona wanaweza kufungwa na Namungo kwa mizingwe iliyopo kwenye soka la Bongo.
Huko kwenye kimataifa Makolo ndiyo wenye goal difference mbovu kuliko timu zote -2 kipa likiwa hilo shati Manula
 
Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa Barani Afrika Aishi Salum Manula.

Kwa taarifa za ndani kabisa zinasema kuwa huenda Simba SC ikavunja Rekodi Afrika nzima kwa Kumuuza huko Ulaya Kipa wake huyo Aishi Salum Manula kwa Gharama ambayo inaweza Kulipa Mishahara Wachezaji wote wote wa Yanga SC kwa mwaka mzima pamoja na Watendaji wake Waandamizi akina Injinia Hersi Said, Wasemaji Wao Wawili Bumbuli na Manara pamoja na Boss wao Mkuu Gharib Said Mohammed ( GSM )

Kuna Litimu ( nimeisahau ) Ligolikipa lao sijui lina Funza katika Midole yake yaani lenyewe hata Mpira mwepesi tu wa Kudaka kwa Mikono yake haliwezi Kazi yake ni Kukokota tu Mpira huku akikimbia akipanua Miguu yake utadhani ana Busha na linataka Kumdondoka.

Hakuna Kipa Bora Afrika kama Manula.
Manura sio kipo mzuri sema ni mshirikina tu
 
Natabiri Huu Uzi utafutwa Na mtoa Mada atapigwa bann
 
Manula... Special one....Specialist of Goal Keeping....!
Naomba asifananishwe na Yeyote..maana Najua Utopolo mtaanza ooh kuna mdaka mikuki..mara mdaka risasi..!
Kwani goal 3 za Asec zimepitia kwa kipa yupi?

Au zile tano tano alikuwa anafungwa kipa yupi?
 
Back
Top Bottom