Huna mantiki kwenye andiko lako,kwa sababu bunge la kijani sio chanzo cha kupandisha bei ya mafuta nchini.
Huko kote ilikopanda bei ya mafuta Duniani,hakuna bunge la chama kimoja.
Leo wabunge walisitisha shughuli rasmi za bunge.
Ili kujadili hoja binafsi ya dharula ya mbunge wa CCM.
Kuhusiana na ongezeko la bei ya mafuta isiyoendana na uhalisia wa maisha mtaani.
Serikali imepewa muda ili ikajipange na kuja na majibu sahihi siku ya Jumanne ya wiki ijayo.
Tunajua mko kijiweni ila tumieni muda huu kujifunza ubunge wa kisasa zaidi,badala ya ubunge wa matusi na kejeli mliokuwa mkiufanya.
Karibuni tena kwenye Boksi 2025,ili mjaribu bahati yenu.
Kwa sasa endeleeni na bunge la Club House na Maria Sarungi Spaces.