Mh Mbowe anahusikaje na mikwamo ya CCM na Serikali yake?Mlipowapora kura wapinzani ili CCM ijaze Bunge mlishangilia,bebeni mzigo wenu wenyewe.Mbowe ni mmojawapo wa waliofurahia ujio wa Samia na kusherehekea kifo cha JPM.
sasa wafuasi wake tulieni mumsikilize mwamba wa kaskazini,pamoja na walamba asali chini ya Rafiki yenu kinana wanavyotunyoosha.
Ulitarajia Mh Mbowe au wapinzani wengine walioporwa kura wangesikitikia kifo cha mtesi wao.Samia naye haeleweki baada ya CCM kumharibu kwa kudumisha ya Magu na kuacha hoja za wananchi.