Mliokuwa mnafurahia wabunge wa Chama kimoja, Chadema ife, upinzani ufe ibaki CCM tu nadhani Sasa akili zimerudi

Mbogamboga maisha yao yamekua magumu sana
 
Na bado!

Tuliwaonya kwamba mwamba ameshaelekea kibra toka siku ile ameenda kwa hangaya

Ni kweli, tena anatakiwa abaki huko huko kibla hilo hatujali,
 
Wapinzani walituchelewesha sana. Wakaamua kusambaza mapanga🤣🤣🤣
 
Mnalalamika kila siku hamtaki kufata ushauri wa Mwigulu....Hamieni burundi
 
Kwa KODI hizi lazima Mafuta yapande Bidhaa Moja KODI 50

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hapa hekima ingetumika hali isingefika hapo ilipo.

Katika hali ya uwiano tozo zilizopo kwenye Mafuta zingetolewa ,ili kuikabili hii changamoto .

Anayeumia ni Mwananchi wa Kawaida, kila bidhaa mtaani imepanda bei, wakati kipato chake halisi hakikidhi mahitaji yake kwa siku.
 

Umeandika ujinga wa kiwango cha pre kindergarten. Hivi Siasa na ushabiki wa CHadema ndo kinawafanya watu kuwa wajinga hivi.
 
Kumbe CCM ina wabunge!! Kwa hiyo hao wabunge wa CCM huwa wanaiwakilisha CCM wapi?
 
Nape , January , Riziwani na Kasimu Majaliwa walipita bila kupingwa
 
Na tunaendelea kumshangilia, ukitaka kuamini nenda jukwaani kwa mkutano wa hadhara then mtukane uone kitakachokupata taahi.ra wewe, bado atawatesa sana.
Amtese nani? Yaani maiti iliyojaa funza itese watu tulio na uhai? Alidhani madaraka ya dunia ni ya milele? Sasa nguvu yote Ile kuua upinzani kaishia kutangulia yeye kuzimu!!!
 
Na tunaendelea kumshangilia, ukitaka kuamini nenda jukwaani kwa mkutano wa hadhara then mtukane uone kitakachokupata taahi.ra wewe, bado atawatesa sana.
Nenda kachimbe shimo pembeni yake uzikwe nae
 
Hatari sana..., hii kauli ilifungulia njia ya kupambana na upinzani kwa gharama yoyote.

Kilichofuata ilikuwa maumivu makubwa kwa wana wa nchi, huku kosa lao kubwa likiwa kuwa na mawazo mbadala.

Mungu ni mwema
Tunamshukuru Mungu sana kutuondolea udhalimu ule
 
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
 
CCM huwa wanawatetea watawala na siyo wananchi.Watetezi wa wananchi kwenye macho ya CCM ni wapinzani na wanapigwa vita Bungeni kila wakijenga hoja na huku mitaani.
Sasa hivi vijana wameanza kama panya road na mara paap watakuwa makundi ya kigaidi vyuma vikikaza zaidi.Serikali inaonekana ikiwa ya kifahari(Tazama misafara ya watawala,aina ya vyombo vya usafiri wao na malipo/mafao yao) ila wananchi hawana matumaini.Wanaongezewa tozo,nauli zimepanda na hakuna maboresho ya kipato cha wajenga nchi-watumishi huku kukiwa hakuna ajira rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…